ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Kweli ni tofauti lakini kuwa mkweli tu msamaria hivi huko unaweza kwenda kucheki tv kwa jirani ukiishiwa star times!au kuweka kitoweo kwa jirani luku ikikata?Uswazi ni ujamaa na kutegemeana.Mkuu japo wengi tumeishi hayo maisha lakini naomba utofautishe kuzoea maisha na maisha matamu. Ni vitu tofauti
Kweli ni tofauti lakini kuwa mkweli tu msamaria hivi huko unaweza kwenda kucheki tv kwa jirani ukiishiwa star times!au kuweka kitoweo kwa jirani luku ikikata?Uswazi ni ujamaa na kutegemeana.
Lakini mkuu si ndiyo asili yetu?kwa nini tusijikubali tu[emoji16][emoji16]Nimesema ukweli kwamba tumeyaishi hayo maisha, boga inapikwa chumvi unaenda kuomba kwa jirani.
Nnachosisitiza ni kwamba sio maisha ya kiwango stahiki. Hakuna mtu anapenda kuishi hayo maisha kwa sasa ila yanabaki kuwa kumbukumbu mujarab
Eeeeh,na hata mademu wa huku wakizipatia ni wapishi waziri mno.Wali unamatandu,nini rice cooker bana,kitumbua sasa hadi raha!kitafunwa unanunua asubuhi.Umeamua kukaanga samaki unatoa mchina nje hapo Kanda mtoto wa jirani anajisaidia
Timing zako mbaya labda,lazima ujue mida ya vibaraza[emoji16]ndo upite nae.kinachonikera uswazi nikipita na demu mkali watu siwakuti nje kama wanaambizana wasikae nje ila nikipita na demu wa hovyo hovyo watu nyomi
Hata kama huna hela muuza vitumbua anajua mpaka mlango wako na mama mwenye nyumba ni shost yakeEeeeh,na hata mademu wa huku wakizipatia ni wapishi waziri mno.Wali unamatandu,nini rice cooker bana,kitumbua sasa hadi raha!kitafunwa unanunua asubuhi.
Yaani huku ukiwa na shughuli hela utoe tu labda kwa kutojichanganya kwako. Dera unapewa au kuazimwa,chakula unapikiwa buuure!Hata kama huna hela muuza vitumnua anajua mpaka mlango wako na mama mwenye nyumba ni shost yake
Jioni hiyo hiyo ila kama uchawi mpaka naonaga wananipangiaTiming zako mbaya labda,lazima ujue mida ya vibaraza[emoji16]ndo upite nae.
Mkuu afadhali wakuchanje unaweza kukuta upara down belowkinachonikera uswazi ni udokozi yaani usiache kitu nje wanapita nacho hadi kandambili,usiku ndio balaa ukiamka lazima ukute wamekuchanja wazee wa busara
Na kwanza anywe ndani kwa kumuogopa nani!ukinunua kanga jioni unajianika nayo barazani kwa raha zako.Baba mwenye nyumba akishakusanya kodi yake anatoa sofa moja barazani na stool ana kunywa balimi yake taratibu. Akinywea ndani nani anajua?
Taarifa ya habari unapata bila kununua redio,mawasiliano yote masikioni mwako!msiba gani utokee usiujue?mpaka kilichomuua marehemu utajulishwa tu. Yule alikuwa na ngoma!Uswahikin raha huna redio jiran anayo baasi miziki yote utaipatia kwa jirani,kwa siku lazima ugomvi utokee
Mtangazo madogo madogo laivu ya wauza dagaa,nyanya chungu,samaki,wapaka rangi,wauza mitumba bila kusahau wauza sumu za wadudu kitu cha kawaida