FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Na watoto wengi wanaokulia huko wanaishia kuwa washenzi tu.. mtoto wa miaka 21 kashazalishwa na kuzeeka kabisaWale wanaoishi mitaa hii tuna maisha yetu dizain flan ivi hayapatikani kokote. Mfano una hela au huna utakula tu japo kwa jirani,huna mke demu utapata tu,unaweza zuga kusonga kaugali kadogo halafu mboga kwa jirani,mipango yote ya chumbani kwa jirani unaisikia bila taabu,hamna CCTV wala nini unapenyeza jicho tu.
Watu wa huko magetini mna raha gani sasa,huku sherehe hazina kadi ni miguu yako tu na pilau unakula.
Sidhani kama ushuani kuna lolote bana.