Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Hahaha hata Mimi nimewahi kupitaPale stendi ya mbezi lous ndio utashangaa,
Wamezungushia uzio ila mtu mzima kabisa anajipitisha chini ya nondo anajibinya mpaka anapita.
Kwakweli hili huwa linanishangaza sana.
Itakua ni wewe nilikuona mkuu.Hahaha hata Mimi nimewahi kupita
Hao ndio wana wa Dar us salaam.. Wanaogopa mvua kuliko ajali ya gari..
Wabongo tunapenda shortcutItakua ni wewe nilikuona mkuu.
Hivi pale nini kinawapelekea kufanya hivyo??
Hakika, halafu muda tunaona mchache sanaWabongo tunapenda shortcut
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]rHii leo nimeona kariakoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hilo dude likikupitia karibu ule upepo wake unaweza kuzima
Unacheka kinafiki πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]r
Kwaninii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unacheka kinafiki [emoji23][emoji23][emoji23]