Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.
Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona.
Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa praised kila kona ya burudani, unategemea usione maajabu ya vibinti vya gen-z and gen-alpha kuwa mafundi wa anal sex.?
Vitoto vyetu vya kike unakuta kila mara vinaimba " ameloa, ameloa,", huku akiwa anawaangalia mabinti wenzake wakicheza na too bad kama akiwa ana akili kama panzi ndio hao mabinti wa TV wata mu-inspire kuishi ki-drama.