ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Aaah wapi, vizuri tunagawana🤣Ndio waachien kataa ndoa 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wapi, vizuri tunagawana🤣Ndio waachien kataa ndoa 😀
Nimimi uyo Asante kwa ku share video yangu hata kwa simulizi tu,,namimi najitambulisha naamini pm itajaa😂😂😂😂Dadazangu mlioolewa waombeen sana waume zenu vita ni kubwa kuanzia mtaani had mtandaoni
Jana nimeona mdada kavaa kikanga anakatika kiuno kama deni mbovu nikawaza kakazangu kujenga ni Kwa mbinde San km mambo yenyew ndo hiv 😂😂😂😂
Hela zenyewe za kujenga hamna, acha tu watu wajirusheDadazangu mlioolewa waombeen sana waume zenu vita ni kubwa kuanzia mtaani had mtandaoni
Jana nimeona mdada kavaa kikanga anakatika kiuno kama deni mbovu nikawaza kakazangu kujenga ni Kwa mbinde San km mambo yenyew ndo hiv 😂😂😂😂
Ila wew😂😂😂Nimimi uyo Asante kwa ku share video yangu hata kwa simulizi tu,,namimi najitambulisha naamini pm itajaa😂😂😂😂
😂😂😂Hata hizo afu kumi kumi zenu Nina uhakika hazikai mfukoni😂Hela zenyewe za kujenga hamna, acha tu watu wajirushe
Eeh jamni 😃Aaah wapi, vizuri tunagawana🤣
Sasa kwa afu kumi kumi utajenga lini.😂😂😂Hata hizo afu kumi kumi zenu Nina uhakika hazikai mfukoni😂
Kwahiyo ni Bora mkale vinono kuliko kujenga 😃Sasa kwa afu kumi kumi utajenga lini.
Utakufa na kisukari bure
Shida nini?
Hembu tulia uelezee vizuri
Kabisa aisee maana usije kukosa vyote chini ya juaKwahiyo ni Bora mkale vinono kuliko kujenga 😃
Umemaanisha nini?mafundi wa anal sex
Imagine mtu yupo radhi aimbe wimbo wa kusifia Choo ila sio kumsifu Mungu...wimbo unaimbwa "ooh toileti, mida ya kwenda toileti"🚮
na mtu anasikiliza
Kwamba mnapenda kufirwanyaki?Maelezo yote hayo aliyoandika na hadi ume-quote uzi mzima na bado hujaelewa shida ilipo
Hili ni tatizo
Hebu nitumien huo wimbo wa choo mm mgeni hapa darImagine mtu yupo radhi aimbe wimbo wa kusifia Choo ila sio kumsifu Mungu...
Wanasifia mavi yenu huko nyumaImagine mtu yupo radhi aimbe wimbo wa kusifia Choo ila sio kumsifu Mungu...
DahWanasifia mavi yenu huko nyuma
Anataka kutoa choo kikubwa?Hebu nitumien huo wimbo wa choo mm mgeni hapa dar
Niliusikia kwenye dala dala nikabaki nasikitika tuHebu nitumien huo wimbo wa choo mm mgeni hapa dar
Ni kwa Tanzania nchi yenye idadi kubwa ya mashabiki wa utopolo huu. Nenda nchi za jirani. Hawana hamu wala muda na upuuzi kama huu. Nadhanni ndiyo maana tuna madangulo mengi kuliko mashule na zahanati. Tumegeuka taifa la wazinzi na wapenda ngono kiasi cha kutisha.Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.
Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona.
Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa praised kila kona ya burudani, unategemea usione maajabu ya vibinti vya gen-z and gen-alpha kuwa mafundi wa anal sex.?
Vitoto vyetu vya kike unakuta kila mara vinaimba " ameloa, ameloa,", huku akiwa anawaangalia mabinti wenzake wakicheza na too bad kama akiwa ana akili kama panzi ndio hao mabinti wa TV wata mu-inspire kuishi ki-drama.