Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

Nimimi uyo Asante kwa ku share video yangu hata kwa simulizi tu,,namimi najitambulisha naamini pm itajaa😂😂😂😂
 
Hela zenyewe za kujenga hamna, acha tu watu wajirushe
 
Ni kwa Tanzania nchi yenye idadi kubwa ya mashabiki wa utopolo huu. Nenda nchi za jirani. Hawana hamu wala muda na upuuzi kama huu. Nadhanni ndiyo maana tuna madangulo mengi kuliko mashule na zahanati. Tumegeuka taifa la wazinzi na wapenda ngono kiasi cha kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…