Ila wanaume….!

Ila wanaume….!

Hivi inakuwaje mpenzi wako anakupa ela tena 10k na anakudai? As if ulimwambia akuazime?!!!.

Na manene juu ya karaha [emoji4]kweli tukuwetuyaone Nyie ,mtutunze tu msipate makasiriko.
Pole sana kwa maswaibu unayopitia RELAX wanaume wa kweli tupo tunatoa na hatudai .😂😂😂
 
Sema nini we malizana nae tu sisi tukisema hapa tutasema mengi sana na mengine yakawa sio kweli😅
 
😂😂😂 babe nikopeshe alfu kumi ninunue vocha nimesahau wallet home

Boy: Vipi buku teni langu
Mleta mada: Jamaaaaniii elf 10 unadai kama milioni na naenda kukutangaza jf

Haya umerudhika kunidhalilisha 🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom