Ila wanaume….!

Hivi inakuwaje mpenzi wako anakupa ela tena 10k na anakudai? As if ulimwambia akuazime?!!!.

Na manene juu ya karaha [emoji4]kweli tukuwetuyaone Nyie ,mtutunze tu msipate makasiriko.
Pole sana kwa maswaibu unayopitia RELAX wanaume wa kweli tupo tunatoa na hatudai .😂😂😂
 
Sema nini we malizana nae tu sisi tukisema hapa tutasema mengi sana na mengine yakawa sio kweli😅
 
Manzi kazaa yule jaman....labda kama atamlea mtoto
Njia aliyoitumia ndo mbaya. Na alitaka kutumia kuzaa kwake naye kuwe mtaji..!!

By the way, Uyole wazima? Nikiingia pale Mfikemo ntakutafuta tu..!!
 
😂😂😂 babe nikopeshe alfu kumi ninunue vocha nimesahau wallet home

Boy: Vipi buku teni langu
Mleta mada: Jamaaaaniii elf 10 unadai kama milioni na naenda kukutangaza jf

Haya umerudhika kunidhalilisha 🚶🚶🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…