🤣🤣Hakimi katuweza aisee🤗
Sababu ni wao au ni wewe?Hata sijawahi onana nao...
Mie,nakimbia kama swalaSababu ni wao au ni wewe?
Sasa hivi mwanaume anaepigwa tusimsikie analalamaika tenaa.. utakuwa uzembe wake 😅😅.. jamaa katupiga pindi la buree kabisaNa ametuwakilisha vyema kwenye level za dunia
🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸Hizi familia za bongo ujifanye hakimi familia Ina watu 8 😂😂 wengine ndo vile tena maana hawanyookagi wote hiyo ni nzuri kama mmezaliwa wawili au mmoja
Ahahahaaa sababu ni nini?Mie,nakimbia kama swala
Wanataka kuthibitisha niandikacho jf ni kweli....Kwa napenda kupigwa miti🙄Ahahahaaa sababu ni nini?
Mbussu kwanza, vingine baadae😂Pole mdogo wangu,usiache kuwa na kabiashara Kako na kikoba kimoja, wanaume wa kisasa Ni wabahili sana
🤣🤣🤣🤣🤣nilipewa anataka amridishie mama yakeKindness_cu kama ulikopeshwa ulipe kama anakuhudumia mpe mbususu mwanetu. Sio maneno yangu ni mwongozo kutoka kwa Achraf Hakimi 😅😅😅
Weeee nipe mweeePole sana siku nyingine ukihitaji niulize hata mimi ntakupa bila masharti
Ili kukujulisha kuwa wanaume wote sio sawa bali huyo ulienae pia ana tabia zake ngumu tu
10k mpaka akudai really
Sasa bado uko nae wa nini au anakudai na penzi lake kuwa ukimuacha atakudai
Kama ni hivyo ntakulipia pia
Vitoto vya mama 🤣🤣🤣🤣Hakimi katufumbua macho 😅😅
🤣🤣🤣sitaki kudaiwa mmWeeee nipe mweee