Ila wanaume….!

Wanataka kuthibitisha niandikacho jf ni kweli....Kwa napenda kupigwa miti🙄
Anyway, uwe unapenda au hupendi, hilo haliwezi julikana kwa kuonana. Labda mtongozane na mkubaliane kupigana minyanduo. Wengine hatupo hivyo.
 
Hivi inakuwaje mpenzi wako anakupa hela tena 10k na anakudai? As if ulimwambia akuazime?

Na maneno juu ya karaha [emoji4]kweli tukue tuyaone. Nyie mtutunze tu msipate makasiriko.
Wanaume wote kwa sasa tunafata alichofanya Achraf Hakimi. Huyo mchizi yupo sawa wewe ndio unatakiwa upunguze makasiriko.
 
Mkuu nyie mnapenda niwe napigwa ban kila kukicha nasema hivi ishi maisha yako....niwe upinde niwe mshale inakuhusu nini?
Kwani nakukanda wewe?
Kama unawaza kumwagilia mwanamke kinyume na maumbile hamshindwi kuwaingilia wanaume wenzenu...na Mimi huwa napendekeza watu wakwanza kunyongwa ni nyie mnaowaingilia wenzenu kwanza ,mkitoweka nyie dunia itakuwa salama.
 
Jamaa yuko sawa kabisa. Binafsi ukija kwangu ukasema nikopeshe au ntakurudishia lazima nikudai, hapa huwa nimepiga hesabu kuwa hii inarudi. Kwa mtu yeyote anayeniambia hivo. Lakini ukisema nisaidie au naomba natoa kwa moyo wote na wala sidai. Hapo nakuwa nimepiga hesabu kabisa nikajua hii hairudi. Tujifunze kauli nzuri kwa kile tunachohitaji
 
Hivi inakuwaje mpenzi wako anakupa hela tena 10k na anakudai? As if ulimwambia akuazime?

Na maneno juu ya karaha [emoji4]kweli tukue tuyaone. Nyie mtutunze tu msipate makasiriko.
😂😂😂Huyo si mpenzi ni kenge wa majarubani😂😂😂😂
 
Mmoja alinikopa 20k kusema atarudisha after 2weeks, ilipoingia wiki ya nne nikaanza kudai hela yangu akalalamika sana akanilipa plus kunipiga kibuti nikasema fresh tu mbona nishakukaza sana huna maajabu huyu demu alinichukia sana akaniblock kila sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…