Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Si ndiyo..watu wanajua kuzicheza karata na huruki ndani 18 lazima upigweLabda hata ni basha wake alimualika tu waje kusaidiana kula ela za mwamba mwamba katoa 50k mamaee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndiyo..watu wanajua kuzicheza karata na huruki ndani 18 lazima upigweLabda hata ni basha wake alimualika tu waje kusaidiana kula ela za mwamba mwamba katoa 50k mamaee
Bac mkuu nimekuelewaSio kila comment unajibu mzee, wakati mwingine unanyuti tu. We kama huna ufagio nae mpotezee, lakini sio kumcharazia ki hivyo
Vijana wa siku hizi mmekuwa vipapa sana! Hamna makoo
Mwamba kapigwa bila yeye kujua kama nawaona wqnavyoondoka kwa furaha kwenda kugegedana kupitia maokoto ya mshkajiSi ndiyo..watu wanajua kuzicheza karata na huruki ndani 18 lazima upigwe
Kuna maisha bila ya papuchi mkuuPapuchii ipewe mitaji lake dogo anavunga story kibao [emoji16][emoji16][emoji16]
😅😅😅 mpe darasa huyoToa pesa wewe acha kutafuta huruma Jf
Sio kwa mwanamke huyu😅😅😅 mpe darasa huyo
Tumwambie tu r.i.p classmate [emoji16]Amakweli penye miti hamnaga wajenzi....[emoji849]
Nice guyyyWakuu najua mpo wazima wacha niende kwenye point moja kwa moja.
Kuna group moja huko watsup la kuhusu mambo ya kijamii na kula bata na 90% wanawake ndio wengi bac kuna siku tulikutana member kwa ajili ya misosi bac tukafahamiana na mdada yupo humo anaofisi jirani na mitaa yangu.
Siku moja akanipigia simu kuwa anataka kuhamia huku jirani na ofisi yake ili apunguze gharama za nauli nikamwambia usijali kuna madalali wanangu ntawachek bac mwanaume nikaingia mtaa nikachek na madalali tukapata room mtoto akahamia hapo ni jirani sana na makazi yangu bac life likaenda fresh.
Tukawa tunachat tu kawaida dem ni mzr but sikuwa na shobo nae ila cha kushangaza huyo dem amekuwa mtu wa kulalama kila siku kuwa mimi ni mbahili kwamba toka ahamie kitaani kwangu hajawahi kula hata 50 yangu na sijawahi kumtoa out wakati tupo majirani.
Jinsi anavyoongea ni kama utani ila najua anamaanisha. Maana imekuwa ndio kauli zake kila uchwao.
Mpaka huwa natamani kumuuliza kwani huna mpenzi mpaka uanze kulia na mimi kila siku. Kiukweli huyu mdada ananishangaza sana
Na huwa yupo tayari nimtoe out muda wowote na siku yoyote hata iwe usiku mkali huwa hapingi ni mimi tu ndio huwa nampuuza. Na akijua nimeenda kiwanja bila kumwambia basi atanitumia furushi la lawama.
Juzi kati kanipigia simu et kuwa ana njaa nikamfata kwake nikampeleka lounge kaagiza kitimoto bac muda huo anakula kakaanza kunipigisha stori za dildo mara punyeto nikawa nakaangalia tu kakamaliza nikakarudisha kwake.
Kwa mambo haya nyinyi wanawake sometime mnafosi tu kupigwa miti hata kama mtu hakuwa na mpango, mtu sio mpenzi wako ni ushkaji tu but unafosi upewe hela na kutolewa out kama sio kutafuta rungu ni nini??
Na mimi pesa zangu huwa haziliwi kizembe hivyo kisa utelezi ila kwa hili lazima huyu mchaga nimpelekee moto
Kuna haja ule utaratibu wa Jando urudishwe...wanamme mmekuwa wambea sana,yaani kisa elf 15...na Uzi juu
Huyo malaya anataka hela hana cha kupoteza, kikubwa hiyo hela aifate lodge!
Kulikuwa kuna haja gani ya kujumlisha Wanawake wote, unamaanisha hadi Mama yako bila kusahau bibi yako pia.