Ila Zahera anatuoanaga wajinga sana na uongo wake kuhusu Congo,angalia huu uwanja wa ligi kuu

Akisema haina maana kasema vya Congo ni vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akisema haina maana kasema vya Congo ni vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
alisema Jean makusu wa vita hawezi kuja kucheza ligi ya bongo maana mbali na mshahara hakuna viwanja vizuri sasa angalia hicho kiwanja hapo juu na team ya makusu ilikuwpo inacheza,pamoja na ubaya wa baadhi ya viwanja vyetu hatuna cha ligi kuu kama hicho,hicho ni cha ndondo cup ,bora kusiwe na majukwaa kuwe na pitch nzuri bwana
 
Mapopoma kila atakachosema Zahara lazima waitike Labeek kwani hawana namna. Kichaa ametoka bafuni na kanga ya mama yao, lazima wamuite baba wapende wasipende.
 
Wakongo kama wahaya tu kwa kupenda misifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…