Ila Zahera anatuoanaga wajinga sana na uongo wake kuhusu Congo,angalia huu uwanja wa ligi kuu

Ila Zahera anatuoanaga wajinga sana na uongo wake kuhusu Congo,angalia huu uwanja wa ligi kuu

Kuna siku nilimsikiaga akilalamikia viwanja bongo ni vibovu ,nikajiuliza hivi afrika yetu hii ukitoa south africa na nchi za kiarabu hali ya viwanja vya mpira si inafanana?
Jamaa ni muongo na ana masifa ya ki congo kwelikweli,embu anagalia kiwanja hiki cha ligi kuu ya congo tena uwanjani wapo as vita
View attachment 1067323
Akisema haina maana kasema vya Congo ni vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akisema haina maana kasema vya Congo ni vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
alisema Jean makusu wa vita hawezi kuja kucheza ligi ya bongo maana mbali na mshahara hakuna viwanja vizuri sasa angalia hicho kiwanja hapo juu na team ya makusu ilikuwpo inacheza,pamoja na ubaya wa baadhi ya viwanja vyetu hatuna cha ligi kuu kama hicho,hicho ni cha ndondo cup ,bora kusiwe na majukwaa kuwe na pitch nzuri bwana
 
Mapopoma kila atakachosema Zahara lazima waitike Labeek kwani hawana namna. Kichaa ametoka bafuni na kanga ya mama yao, lazima wamuite baba wapende wasipende.
 
Kuna siku nilimsikiaga akilalamikia viwanja bongo ni vibovu ,nikajiuliza hivi afrika yetu hii ukitoa south africa na nchi za kiarabu hali ya viwanja vya mpira si inafanana?
Jamaa ni muongo na ana masifa ya ki congo kwelikweli,embu anagalia kiwanja hiki cha ligi kuu ya congo tena uwanjani wapo as vita
View attachment 1067323
Wakongo kama wahaya tu kwa kupenda misifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom