Ilaaniwe siku ya leo, nimekula chaga za mbavu hatari

Mwanamke anayekubali kila mwanaume anayemtongoza huitwa malaya. Mkuu unachembechembe za namna hiyo. Wewe ni malaya, narudia wewe ni MALAYA. Na hao wasichana wamekufikisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akuepushe na pepo la uzinzi jiangalie pia cku utatokewa na jini wew
 
Siku hizi wanawake hawatongozwi njiani.

Wewe hujasoma kuna uzi mmoja mwanamke aliufata mshododo kutoka dsm hadi sumbawanga sema Kakikuta kibamia na jamaa mfupi kama nyundo?
Nenda fb huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…