Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo kwa wazee tukutemee mate ya barakaNimeloose control.
Delta Force
Sio hivyo nmekutana na wengi ila hao wa3 ndo nimewaelewa.Kila unaekutana unamwelewa ... Noma sana mkuu
kila muandika uzi ana gari hahahaaa jf raha sanaSawa tushajua una gar
Triple A
Ni kweli kabisa kwasababu Mungu ana sababu ya jamaa kutoswa hivyo.Mshukuru Sana Mungu
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani thread nzima umeona kwenye gari tuSawa tushajua una gar
[Color= yellow]Triple A[/color]
[emoji41] Leo na kwambia next time nitakusutaSasa unataka kunisuta[emoji17]
[Color= yellow]Triple A[/color]
Mungu akuepushe na pepo la uzinzi jiangalie pia cku utatokewa na jini wewWakuu kati ya siku ambazo nimetokea kuzichukia kwa upande wa Malovee bhasi ni siku ya leo......Nimeamka asubuhi na mapema nikajiandaa kwenda kazini, ile nafungua geti nitoe ki baby walker changu nkakutana na mrembo matata akiwa amesimama karbu na nyumbani huku akionekana anasubiri usafiri(boda boda) nkaamua nijitose japo niambulie namba yake ya siku, mrembo akanitolea nje huku akinipa shit! za maana ilihali mi sijatoa kauli yoyote mbovu zaidi ya kumsalimia na kumuuliza jina lake. Nkachukulia poa nkajua labda kavurugwa huko atokako nkaachana naye nkatoa kibaby walker changu nkafunga geti nkaingia mzigoni.Mida ya jioni ile natoka job nkaingia sehemu kununua mazaga flani nkakutana na mrembo mwengine nkampa hi kaitikia, nkamuuliza jina kasema anaitwa Jackline, nkataka nilete swaga za kuomba namba mtoto kanitolea nje huku akiniuliza kama nimekosea njia nnapoenda anielekeze otherwise nifunge domo langu, nkaumia sana ukizingatia kiumri nimemzidi huyo mrembo nkaamua kuendelea kumwaga sumu na maneno matamu lakini nkaambulia kukaliwa kimya huku misonyo ikiendelea. Sikuwa na namna nyingine nkaachana naye nkafanya nlokuwa nkifanya nkapanda kimeo changu nkarudi home.Mida ya samoja sambili hivi nkaamua nitoke niingie town kidogo niapate japo kitimoto na kisichana(nyagi ndogo) japo nitoe mawenge, ile napandisha nkamuona mlimnwende nkamuelewa nkasimama nkashusha kioo nkampa hi kaitikia nkataka kuleta habari zingine mrembo akapotea kama ndege ya Malaysia nsijue kaenda wapi, kushuka kwenye kimeo changu nkamuona akiishiria kumbe alinipuuza akaamua kusepa na kuniacha nkishangaa kama sonara aliyepigishwa makinikia feki. Wakuu baada ya hiyo incident nkakosa mood hata ya kule nilipokuwa nikienda nkaamua kugeuza nkafika ndani nkajilaza huku nkitafakari masaibu yaliyonikuta leo.
Mpaka naandika uzi huu nimezama kwenye kilindi cha mawazo kuhusu matukio ya leo, nimejiona fala sana na nikeilaani siku ya leo na hakika sitaisahau.
Delta Force
In Sakina (mizengwe).….voiceIsilaaniwe siku ila Ulaaniwe wewe unayetongoza hovyo hovyo na nyege zako.