Ilaaniwe siku ya leo, nimekula chaga za mbavu hatari

Ilaaniwe siku ya leo, nimekula chaga za mbavu hatari

Kwanzaa inaelekea kabisaa wee ni malayaa wa kutosha yaaan kila unachokutana nacho unakitaka utake adi namba za majin ndo uhuni utakuisha wewe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni hicho Ku baby walker chako Mkuu kama wewe mwenyewe unavyokiita kimeo,kama si ki Passo hicho sijui,tafuta Range hao wote wataanza kukusalimia wewe kabla ya wewe kuwasalimia wao. Wanawake wa mjini hawapendi vijereta hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhaaa mkuu tafuta bizness card ya magumashi uwe una wapa na sio kuwaomba. Utapigwa za kichwa siku engine[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
hapana Saint Ivuga ,,fb kuingia nadra sana.
hilo neno ni kiswahili au kiluga.nimepata msamiati mpya asante.
 
kumuuliza jina dem na kumuomba namba at once anakua anajua kabisa unataka nn..na hamna mwanamke anaetaka kujirahisha kiasi hicho saivi akupe namba zake kirahisi(labda na yeye awe amekupenda).ukishamsalimia jifanye kama unamfananisha ushamuona sehem ili akuambie jina lake au msifie umependeza au km kavaa skin jeans,sket iliyoishia magotini msifie anamiguu mizuri au msifie hair style yake.then ongea nae ishu za kawaida za kijamii(kama changamoto za apo kitaani) au kiuchumi au muulize kama anaisoma namba kama wewe(kiutani),ili uweze kumjua zaidi.utakua umeanzisha urafiki na itakua rahisi kukupa # ukimuomba.ila ukumbuke kuna kupata na kukosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we hujui kutongoza wewe eti jina lako nani unaandikisha kitambulisho cha taifa?
 
Jana nimekula za uso nimekuja humu kupata faraja baadhi wamenifariji baadhi wamenikejeli, anyway haina tabu hizo ni changamoto za maisha tunakumbana nazo.
All in all nimeopata cha kujifunza, Thanks a lot wachangiaji and may God bless you all.

Delta Force

 
Inaonyesha wewe ni mgeni wa kuishi kwenye majiji,umebahatishansana kuja mjini,bado unaushamba wa kidhani PASSO ni gari kumbe ni usafiri tu kama scooter.
 
Back
Top Bottom