Ilala Boma Shule ya msingi 1987 tukutane hapa

babajohn

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
42
Reaction score
18
Naam nawasalimu wahenga wenzangu tuliomaliza elimu ya msingi mwaka 1987 Ilala Boma hapa DSM.

Karibuni tukumbushane enzi zile za mwalimu Mkuu Lutambi (Kamchape), mzee Mangosongo, mwalimu Mang'enya, mwalimu Sanga na wengineo.

Tumeshakula chumvi nyingi sasa!
 
Umesha rudi , safari yako ya TA?
 
Nakumbuka sn kipindi kile ticha nsavanga enzi izo sie tulikuwa mchikichini pale karibu na ilala boma
 
Back
Top Bottom