ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 64
- 55
habari serikali tusaidiane jamani
tutapata majanga
njoeni mbadili hili kalavati ni dogo maji ni mengi yanayopita eneo hili mvua ikinyeshaga ndogo tu maji yanajaa kwenye nyumba za watu sasa elinino ikija si watasombwa watu?
mkoa ni dar es salaam
wilaya ilala
kata majohe
njia unaingilia gongo la mboto chuo cha kampala unashuka maduka sita darajani