Elections 2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

CCM Oyeeeeeeeee,zidumu fikra za Mwenyekiti wa Chama.
 
Ikiwa miaka minne wameshindwa wataweza mmoja uliobaki.
Kama usingekuwa Chadema ungesubiri wakati watu wanarusha fataki ndiyo upost hii kitu! Tatizo ni kuingia kwenye hiyo SACCOS, akili zote unaziacha mlangoni
 
Magu hana mbele wa nyuma....anajidai kujenga miundombinu inayogharimu mabilioni ya pesa ilimradi tu akumbukwe kama Nyerere..Fool prezida!!
 
Miaka 57 wameshindwa kufanya lolote la maana ije kuwa miaka hii mitano ,wanaweza ni ufisadi ,kuteka ,kuua ,kufunga kwenye viroba .
 
Sasa kampeni unafanyia kweye haka kajukwaa wasomaji hawazidi laki, na ni walewale wa kila siku ambao hiki ndio kijiwe chao,wakati watanzania wapo milioni 60 na wengi wao wapo vijijini na wanatumia simu za tochi na tbc television,unategemea kuingia ikulu kwa kuota ndoto za mchana


Leteni sera mbadala ,huu wimbo umechuja

Magu anachakuongea ,SGR,Ndege,elimu bure,wafanyakazi hewa,nidhamu ya watumishi,stigliers ,kapanua bandari karibu zote nchini,viwanja vya ndege ,vituo vya afya na dawa vimeongezeka,dawa za kulevya na ujambazi vimedhibitiwa kwa kiasi chake,ujangili wa wanyama pori umedhibitiwa,na mengineo mengi .

Cha kufanya lazima muwe unique,muwaambie watanzania mtawafanyia nini kikubwa zaidi,

Ikiwa mmeshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu ya chama ni kipi mtaweza ?,nafikiri ni porojo tu ndizo mnaziweza na kusubiria matukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…