Sasa kampeni unafanyia kweye haka kajukwaa wasomaji hawazidi laki, na ni walewale wa kila siku ambao hiki ndio kijiwe chao,wakati watanzania wapo milioni 60 na wengi wao wapo vijijini na wanatumia simu za tochi na tbc television,unategemea kuingia ikulu kwa kuota ndoto za mchana
Leteni sera mbadala ,huu wimbo umechuja
Magu anachakuongea ,SGR,Ndege,elimu bure,wafanyakazi hewa,nidhamu ya watumishi,stigliers ,kapanua bandari karibu zote nchini,viwanja vya ndege ,vituo vya afya na dawa vimeongezeka,dawa za kulevya na ujambazi vimedhibitiwa kwa kiasi chake,ujangili wa wanyama pori umedhibitiwa,na mengineo mengi .
Cha kufanya lazima muwe unique,muwaambie watanzania mtawafanyia nini kikubwa zaidi,
Ikiwa mmeshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu ya chama ni kipi mtaweza ?,nafikiri ni porojo tu ndizo mnaziweza na kusubiria matukio
Sent using
Jamii Forums mobile app