Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Watu wangekunja ngumi na kurusha viti,mwisho wasijue hata kwanini waligombana.Hivi ingefanyika midahalo ya "face to face", hali ingekuwaje kwenye kujenga hoja!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wangekunja ngumi na kurusha viti,mwisho wasijue hata kwanini waligombana.Hivi ingefanyika midahalo ya "face to face", hali ingekuwaje kwenye kujenga hoja!?
UMENENA VEMA LAKINI SIKUBALIANI NA SENTENSI YAKO YA MWISHO KWAMBA UPINZANI BADO SANA KUPEWA NCHI, ETI WAJIPANGE. NATAKA NI KWAMBIE KWAMBA IKITOKEA CHAMA CHOCHOTE CHA UPINZANI KIKASHINDA UCHAGUZI, HAO WOTE WAZURI UNAOWAFIKIRIA WAPO CCM WATAHAMA HUKO NA KUWA SEHEMU YA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI. HATA WEWE MWENYEWE UKITEULIWA KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI UTAKUBALI TU. KUMBUKA HAKUNA KIPYA SANA KINACHOLETWA NA CHAMA CHA SIASA. UKWELI NI KWAMBA SERIKALI IPO TU NA INAJITOSHELEZA. HAWA TUNAOWACHAGUA KUTOKA VYAMA VYA SIASA SIYO WATAALAMU BALI NI WASIMAMIZI TU NA WASHAURI KWA SERIKALI. HATA ILANI ZA VYAMA HUDOKOA TU KUTOKA KWENYE MIPANGO YA SERIKALI. HIVI KWA MFANO YULE MBUNGE WA RORYA NA MAKAMBAKO ANALETA NINI KIPYA SERIKALINI?Nimeweka hiyo Aya kwa maana sioni wapinzani wakiongea popote, kwa upande wa serikali najua zipo jitihada mfano kuna Kiwanda cha ngozi Moshi kinaendelea kujenga na kipo zaidi ya 90% kukamilika. Na ccm ipo na Sera ya viwanda, kuna viwanda vya usindikaji vinajengwa Muheza Tanga, kubangua korosho n. k. Hayo yote utayasikia mgombea akifika maeneo husika tega sikio.
Lakini la msingi ni kutungwa kwa sheria ya mifugo ya mwaka 2020 ambayo imerekebisha gharama za tozo ya chanjo ya mifugo, kutoa ruzuku ya dawa ya kuogesha mifugo na kuhimiza ufugaji wa kisasa Sera ambazo wapinzani hawana.
Mara fao la kujitoa wakulima na wafugaji wananitoa wapi? Au machinga na wafanyabiashara wadogo wananitoa nini?.
Sera ya kupunguza kodi ili iweje, ukope zaidi? Kufuta vitambulisho vya wajasiriamali halafu unafanyaje ukishafuta?.
Bado sana kuwa na wapinzani wa kupewa nchi, wa jipange.