Cicadulina JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 1,015 Reaction score 2,454 Sep 9, 2020 #1 My take: Zile mbwembwe zote kumbe ni danganya toto
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,554 Reaction score 7,386 Sep 9, 2020 #2 Anataka atuoneshe maajabu wakati alipo kuwa na aliyofanya ni 🚮🚮🚮🚮🚮
Mwanzi1 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,999 Reaction score 4,591 Sep 9, 2020 #3 Uchumi wa kati una madaraja matatu, chini, kati ana juu. CCM inawania daraja la kati kutoka la sasa ambalo ni uchumi wa kati daraja la chini.
Uchumi wa kati una madaraja matatu, chini, kati ana juu. CCM inawania daraja la kati kutoka la sasa ambalo ni uchumi wa kati daraja la chini.