Cicadulina JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 977 Reaction score 2,370 Sep 9, 2020 #1 My take: Zile mbwembwe zote kumbe ni danganya toto
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,367 Sep 9, 2020 #2 Anataka atuoneshe maajabu wakati alipo kuwa na aliyofanya ni 🚮🚮🚮🚮🚮
Mwanzi1 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 6,000 Reaction score 4,589 Sep 9, 2020 #3 Uchumi wa kati una madaraja matatu, chini, kati ana juu. CCM inawania daraja la kati kutoka la sasa ambalo ni uchumi wa kati daraja la chini.
Uchumi wa kati una madaraja matatu, chini, kati ana juu. CCM inawania daraja la kati kutoka la sasa ambalo ni uchumi wa kati daraja la chini.