Wale wafuasi wa CCM tunaomba mtuambie, ilani yenu ya chama inasemaje kuhusu ndege!
Huwa nasikia sikia tu "ilani ya ccm", lakini binafsi sijawahi hata kuisoma. Huwa naona kama ni kijarida cha kitapeli tu.
Tunaomba kufahamu, hiyo ilani yenu inazungumza kuhusu ndege tu kuanzia kurasa ya kwanza mpaka ya mia tatu?
Hiyo ilani imezungumza kuhusu ndege mahali popote pale? au ni wazo tu la mtu mmoja?
Ni ipi sera ya CCM tofauti na ndege na madaraja?
Hebu tuache mzaha na maisha ya watu.