Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM inasemaje kuhusu Ndege?

Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM inasemaje kuhusu Ndege?

Ambokile Amanzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2018
Posts
965
Reaction score
1,333
Wale wafuasi wa CCM tunaomba mtuambie, ilani yenu ya chama inasemaje kuhusu ndege!

Huwa nasikia sikia tu "ilani ya ccm", lakini binafsi sijawahi hata kuisoma. Huwa naona kama ni kijarida cha kitapeli tu.

Tunaomba kufahamu, hiyo ilani yenu inazungumza kuhusu ndege tu kuanzia kurasa ya kwanza mpaka ya mia tatu?

Hiyo ilani imezungumza kuhusu ndege mahali popote pale? au ni wazo tu la mtu mmoja?

Ni ipi sera ya CCM tofauti na ndege na madaraja?

Hebu tuache mzaha na maisha ya watu.
 
Siku ya uchaguzi wakusanye tu hayo madege yao yote yaende yakawapigie kura. Sisi wengine yanatuvuruga tu ubongo maana hatujui kama itatokea siku tukayapanda.
 
Saizi hatutaki wananufaika wachache wengi tunaumia kisa ndege ?madaraja hapana kwakweli
 
Ndege kauziwa bei ndogo halafu katupiga balaa bila aibu aiseee
Screenshot_20200906-210050.png
IMG_20200906_205932.jpg
 
Back
Top Bottom