johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo
Kitila amesema mwekezaji ameshasaini mkataba na wananchi watapewa kipaumbele kupangishwa maeneo ya biashara kulinganisha na wageni.
Pia kituo hicho kitatoa maelfu ya ajira kwa watanzania, amesema.
Source: ITV habari!