Ilani ya CCM: Kituo kikubwa cha Biashara kujengwa Ubungo ilipokuwa stendi ya mkoa, mwekezaji asaini mkataba Chadema walituchelewesha!

Ni solo la wachina ndani ya tz. Badala ya kwenda China utaenda ubungo.
Tunasubir kituo cha kuuza mzigo wa vile viwanda 4000 by Tanzania kikajengwe huko china.... ili tuendlee kusifia na kuabudu.
Asante corona 17.3.2021 uliondoa uongo na ghiriba duniani
EeeenHeeee!

Kama utani vile, lakini katika mambo mazito kwelikweli!

Kwa kweli COVID-19 ilitoa mchango wake wa kihistoria Tanzania, mchango ambao unabadilisha kabisa mwelekeo wa nchi.
 
Daaa mwekezaji kujenga frame za biashara daaaa anatoka nje nchi watanzania tumeshindwa wapi ? Tulijisahau mlimani city bado tunarudia yale yale?
 
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo

Kitila amesema mwekezaji ameshasaini mkataba na wananchi watapewa kipaumbele kupangishwa maeneo ya biashara kulinganisha na wageni.
Pia kituo hicho kitatoa maelfu ya ajira kwa watanzania, amesema.

Source: ITV habari!
Bila proper physibility studies na enviromnmental impacts assesments matokeo yatakuwa vurugu!

Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo

Kitila amesema mwekezaji ameshasaini mkataba na wananchi watapewa kipaumbele kupangishwa maeneo ya biashara kulinganisha na wageni.
Pia kituo hicho kitatoa maelfu ya ajira kwa watanzania, amesema.

Source: ITV habari!
Hapo kesha chukua 10% yake
 
EeeenHeeee!

Kama utani vile, lakini katika mambo mazito kwelikweli!

Kwa kweli COVID-19 ilitoa mchango wake wa kihistoria Tanzania, mchango ambao unabadilisha kabisa mwelekeo wa nchi.
Kabisa kabisa
 
Daaa mwekezaji kujenga frame za biashara daaaa anatoka nje nchi watanzania tumeshindwa wapi ? Tulijisahau mlimani city bado tunarudia yale yale?
Ukweli ni kwamba hakuna tunachojifunza kutokana na tuliyokwishafanya na kushindwa.

Maana yake tutakuwa tunazungukia humo humo tu kwenye makosa, huku tukiwa hatuendi popote, kama ilivyo nchi ya Haiti vile!
Zaidi ya miaka 200, tutakuwa tunazungukazunguka tu humo humo huku wakati ukipita haraka!
 
Back
Top Bottom