johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoja tuone!Isije kuwa kama machinga complex🤣🤣
52% ndio wamechukua mwendokasi!Eneo lenyewe kubwa limeshachukuliwa na Mwendokasi
Imebaki 48% ya kujenga kituo kikubwa.52% ndio wamechukua mwendokasi!
Cha Biashara!Imebaki 48% ya kujenga kituo kikubwa.
Mko vizuri sana kwenye kuvipa majina, ila utendaji wake ndio kazi itakapoanza.Cha Biashara!
Na machinga complex ilikuwa ikisifiwa hivi kuwa ikimalizika hakuna machinga ataonekana mitaani.Isije kuwa kama machinga complex🤣🤣
Bwashee vuta subra!Na machinga complex ilikuwa ikisifiwa hivi kuwa ikimalizika hakuna machinga ataonekana mitaani.
KAZI IENDELEE
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo
Kitila amesema mwekezaji ameshasaini mkataba na wananchi watapewa kipaumbele kupangishwa maeneo ya biashara kulinganisha na wageni.
Pia kituo hicho kitatoa maelfu ya ajira kwa watanzania, amesema.
Source: ITV habari!
Mwambie Kitila ahamasishe wawekezaji wanaojenga viwanda. Sio watu wanaojenga outlet za kuuzia bidhaa feki toka China.Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo
Kitila amesema mwekezaji ameshasaini mkataba na wananchi watapewa kipaumbele kupangishwa maeneo ya biashara kulinganisha na wageni.
Pia kituo hicho kitatoa maelfu ya ajira kwa watanzania, amesema.
Source: ITV habari!
Nimekuelewa bwashee!Mwambie Kitila ahamasishe wawekezaji wanaojenga viwanda. Sio watu wanaojenga outlet za kuuzia bidhaa feki toka China.
Hiyo wanayojenga hapo Ni Kama Machinga complex.
No production, jobs will be exported to China.
Walisemaga RBT Buses ndo itakuwa depo yake Pale.so yataendelea kuwa pale kidimbwi Jangwani??Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo
Kitila amesema mwekezaji ameshasaini mkataba na wananchi watapewa kipaumbele kupangishwa maeneo ya biashara kulinganisha na wageni.
Pia kituo hicho kitatoa maelfu ya ajira kwa watanzania, amesema.
Source: ITV habari!
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo
Kitila amesema mwekezaji ameshasaini mkataba na wananchi watapewa kipaumbele kupangishwa maeneo ya biashara kulinganisha na wageni.
Pia kituo hicho kitatoa maelfu ya ajira kwa watanzania, amesema.
Source: ITV habari!
Ubungo inagawanywa mara mbili!Walisemaga RBT Buses ndo itakuwa depo yake Pale.so yataendelea kuwa pale kidimbwi Jangwani??
Prof Kitila kada aliyekulia Chadema!Mzee Mgaya ndio kakwambia hivyo