Na kile kiwanda kikubwa kuliko vyote Duniani cha kutengeneza mikokoteni ya kuvutwa na ng'ombe kilichozinduliwa na waziri wa uwekezaji bwana Kitila, nacho kitahamia hapo? Chenyewe kimetoa ajira elfu ngapi?Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo
Kitila amesema mwekezaji ameshasaini mkataba na wananchi watapewa kipaumbele kupangishwa maeneo ya biashara kulinganisha na wageni.
Pia kituo hicho kitatoa maelfu ya ajira kwa watanzania, amesema.
Source: ITV habari!
Lile eneo kutokana na wingi wa Buses za Mwendo kasi phase 1,2 (mbagala) 3,4 Mbezi Beach, wakipagawa apatoshi kabisaUbungo inagawanywa mara mbili!
Ni kweli kabisa na anaweka wasi , tatizo la Chadema ni uongozi na sio wanachama.Prof Kitila kada aliyekulia Chadema!
Walisemaga RBT Buses ndo itakuwa depo yake Pale.so yataendelea kuwa pale kidimbwi Jangwani??
CCM inasema inawanachama wengi kinachoshangaza Ni wao kununua wanachama kwa Bei mbaya na Kisha kuwapa nafasi za uongozi wa juu.Ni kweli kabisa na anaweka wasi , tatizo la Chadema ni uongozi na sio wanachama.
Anzia hapa kupiga akili.Ngoja tuone!
Ni tofauti na ubungo business park iliyopo shekilango ?Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo
Kitila amesema mwekezaji ameshasaini mkataba na wananchi watapewa kipaumbele kupangishwa maeneo ya biashara kulinganisha na wageni.
Pia kituo hicho kitatoa maelfu ya ajira kwa watanzania, amesema.
Source: ITV habari!
Hakuna aliyewatuma huko walienda kwa njaa zao tuCCM inasema inawanachama wengi kinachoshangaza Ni wao kununua wanachama kwa Bei mbaya na Kisha kuwapa nafasi za uongozi wa juu.
Sababu inaweza kua, wengi katika CCM hawafai uongozi ndio maana wanakuja kupoach big brains huku.
Wakae wakijua kwamba ONCE A COP, ALWAYS A COP. Wote Hawa kina Mkumbo, Silinde, Nani yule mpenda beer baridi mzee wa Kanda maalum, naibu wa Dada doro, Juakali, watarudi Chadema wakimaliza kazi tuliyowatuma. Watch this space.
Acha kujidanganya, na wala usijitie hofu kwamba kwa sababu hao mafala wamehamia ccm basi CHADEMA itakufa au itapoteza uungwaji mkono na wananchi.CCM inasema inawanachama wengi kinachoshangaza Ni wao kununua wanachama kwa Bei mbaya na Kisha kuwapa nafasi za uongozi wa juu.
Sababu inaweza kua, wengi katika CCM hawafai uongozi ndio maana wanakuja kupoach big brains huku.
Wakae wakijua kwamba ONCE A COP, ALWAYS A COP. Wote Hawa kina Mkumbo, Silinde, Nani yule mpenda beer baridi mzee wa Kanda maalum, naibu wa Dada doro, Juakali, watarudi Chadema wakimaliza kazi tuliyowatuma. Watch this space.
Tanzania naijua sana watawapata nyie tu imagine tuliambiwa SGR Dar to Moro itaanza November sijui wewe unaonaje.Bwashee vuta subra!
Kiongozi. Nikukumbushe mradi ulikua ukamilike November 2019 wakati mwendakuzimu alikua bado anapumua. Sasa hivi Ni 21 na hayupo.Tanzania naijua sana watawapata nyie tu imagine tuliambiwa SGR Dar to Moro itaanza November sijui wewe unaonaje.
Halafu stand kuu ya mwendo kasi wataipelekea wapi? Tanzania tunakuaga na mipango kurupushi balaaWaziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo
Kitila amesema mwekezaji ameshasaini mkataba na wananchi watapewa kipaumbele kupangishwa maeneo ya biashara kulinganisha na wageni.
Pia kituo hicho kitatoa maelfu ya ajira kwa watanzania, amesema.
Source: ITV habari!
Unakumbuka ya Machinga Complex,,Mko vizuri sana kwenye kuvipa majina, ila utendaji wake ndio kazi itakapoanza.
Hizo flemu walizojenga ndio umachinga wenyewe!Anzia hapa kupiga akili.
Hivi eneo kama hilo haliwezi kutumika kutafuta utatuzi wa swala zima la "Machinga" walioko mitaani?
Ni mipango ipi inaweza kufanyika kwenye eneo hilo ili kutatua tatizo lililopo sasa linalowahusu "machinga" wa Dar es Salaam.
Sijaandika hapa kuwa ndio liwe eneo la uchuuzi na kuuza bidhaa kama wanavyofanya sasa hivi katika maeneo mbalimbali; lakini je, kuna mambo gani yanayoweza kufanyika katika eneo hilo yakiwahusu hao jamaa!
Ningependa kusikia wewe unapendekeza yapi.
Hapo hapo!Halafu stand kuu ya mwendo kasi wataipelekea wapi? Tanzania tunakuaga na mipango kurupushi balaa
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kwani November imeshafika bwashee?Tanzania naijua sana watawapata nyie tu imagine tuliambiwa SGR Dar to Moro itaanza November sijui wewe unaonaje.
Machinga Complex ni ya kubomoa Yale mabanda ya kufugia simba na kuikamilisha!! Kuweka historia sawa Mbunge "Zungu Hassan" ndio alikuwa kikwazo kwa hii Machinga Complex kukamilika ujenzi! Siasa ni Mbaya Sana kwa maendeleo ya NchiNa machinga complex ilikuwa ikisifiwa hivi kuwa ikimalizika hakuna machinga ataonekana mitaani.
Ni kituo cha kuhifadhia bidhaa za wachina yaani China inafungua solo tz..... upoNgoja tuone!