Ilani ya CCM: Kituo kikubwa cha Biashara kujengwa Ubungo ilipokuwa stendi ya mkoa, mwekezaji asaini mkataba Chadema walituchelewesha!

EeeenHeeee!

Kama utani vile, lakini katika mambo mazito kwelikweli!

Kwa kweli COVID-19 ilitoa mchango wake wa kihistoria Tanzania, mchango ambao unabadilisha kabisa mwelekeo wa nchi.
 
Daaa mwekezaji kujenga frame za biashara daaaa anatoka nje nchi watanzania tumeshindwa wapi ? Tulijisahau mlimani city bado tunarudia yale yale?
 
Bila proper physibility studies na enviromnmental impacts assesments matokeo yatakuwa vurugu!

Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
 
Hapo kesha chukua 10% yake
 
EeeenHeeee!

Kama utani vile, lakini katika mambo mazito kwelikweli!

Kwa kweli COVID-19 ilitoa mchango wake wa kihistoria Tanzania, mchango ambao unabadilisha kabisa mwelekeo wa nchi.
Kabisa kabisa
 
Badilisha heading Chadema inahusikaje?
 
Daaa mwekezaji kujenga frame za biashara daaaa anatoka nje nchi watanzania tumeshindwa wapi ? Tulijisahau mlimani city bado tunarudia yale yale?
Ukweli ni kwamba hakuna tunachojifunza kutokana na tuliyokwishafanya na kushindwa.

Maana yake tutakuwa tunazungukia humo humo tu kwenye makosa, huku tukiwa hatuendi popote, kama ilivyo nchi ya Haiti vile!
Zaidi ya miaka 200, tutakuwa tunazungukazunguka tu humo humo huku wakati ukipita haraka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…