mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Ilani iliyozinduliwa jana na mgombea wa CCM kuinadi, ni ilani dhaifu ambayo haijawahi kutokea naweza kusema hivyo
Je, hii ni kutokana na uwepo wa deni kubwa sana kama nchi au namna gani au ni umahiri na uthubutu na uduni wa kusimamia kwa mgombea wa CCM kuwa chini sana au ni nini?
Haiainishi vyanzo vipya vya uchumi wa nchi yetu?
Wakulima nao ni kama wamesahaulika?
Hivi ni kweli kabisa, Kuondoa aibu kama nchi kwa hospital zake kukatamilia miili ya marehemu nalo lilisubiri Ilani?
Walau kwa hili moja la kununua matrekta na ambalo nalo lishachelewa sana
Nawaul8za wana ccm, Ilani yenu ndio hii??