johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hongera sana Tundu Antiphas Lissu,Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama.
Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko.
Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote wameahidi mambo matatu muhimu:
1. Bima ya afya kwa wananchi wote
2. Maslahi bora kwa wafanyakazi wa umma na sekta binafsi
3. Bei nzuri kwa mazao ya wakulima na kuwatafutia masoko
Kutekeleza mambo hayo matatu kwa pamoja ndani ya miaka 5 siyo jambo jepesi na mimi binafsi namuona Dr Magufuli ndiye mwenye uwezo wa kutuongoza kuyafikia matarajio haya ya maendeleo ya watu.
Maendeleo hayana vyama.
Kuhusu wafanyakazi Magufuli hawezi fanya lolote, amewadanganya kwa miaka mitanoTofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama.
Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko.
Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote wameahidi mambo matatu muhimu:
1. Bima ya afya kwa wananchi wote
2. Maslahi bora kwa wafanyakazi wa umma na sekta binafsi
3. Bei nzuri kwa mazao ya wakulima na kuwatafutia masoko
Kutekeleza mambo hayo matatu kwa pamoja ndani ya miaka 5 siyo jambo jepesi na mimi binafsi namuona Dr Magufuli ndiye mwenye uwezo wa kutuongoza kuyafikia matarajio haya ya maendeleo ya watu.
Maendeleo hayana vyama.
CCM ni SHETANI ππππ na baba la uongo.Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama.
Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko.
Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote wameahidi mambo matatu muhimu:
1. Bima ya afya kwa wananchi wote
2. Maslahi bora kwa wafanyakazi wa umma na sekta binafsi
3. Bei nzuri kwa mazao ya wakulima na kuwatafutia masoko
Kutekeleza mambo hayo matatu kwa pamoja ndani ya miaka 5 siyo jambo jepesi na mimi binafsi namuona Dr Magufuli ndiye mwenye uwezo wa kutuongoza kuyafikia matarajio haya ya maendeleo ya watu.
Maendeleo hayana vyama.
Umeisoma ilani ya CCM mwanzo hadi mwisho!CCM ni SHETANI ππππ na baba la uongo.
Ndio maana Magu wakati anaanza kampeni alikuwa anahubiri.
- Kujenga vipande vya barabara
- Kununua ndege ya mizigo
- Kuleta kivuko
Aliposikia Lissu anaingelea Ajira, Kodi, Bima na Mishahara na yeye akadakia juuu juu ilimradi Apaewe "KULA"
Magu siyo muumini wa kuona maisha ya watanzania yanakuwa bora. Ni bora hiyo pesa akamtoe Msigwa Jela kuliko kumlipa kijana anaefuatilia FAO LA KUJITOA Tsh Laki 6 mwaka wa NNE sasa.
Hakuna CCM atayeweza kuwasaidia raia wa nchi hii.
Chsgueni tena CCM MFUKARISHWE.
Na kama kufukarishwa hakutoshi, mtaishi kwa kukimbia kimbua kukwepa risasi za kina Ighondu na Sabaya kama Digi digi.
TAL anatembea na ilani ya CCM kwenye Choppa!Ni kweli, hata kifo na usingizi vinafanana! Wote hawana ufahamu, wote wanafumba macho na kuacha mdomo wazi! Tatizo la ccm ni kwamba kila CHADEMA waki-act nyie mna-react! TAL alisema vitambulisho feki vya wamachinga, babalao akasema siyo lazima! Juzi kati Lissu alisema push-up hazipo mwaka huu, jamaa kufika Korogwe akapiga 5 kwa tabu! Ngoja siku aseme tutajisaidia jukwaani, mkopi mkapesti kwenye jukwaa lenu!
Nimekuelewa bwasheeHiyo ndiyo faida ya uwepo wa demokrasia ya vyama vingi.
Ikitokea vikawa na nguvu, mtandao unaolingana, wananchi watafaidi zaidi.
Ilikufa lakini haijazikwa!aisee hivi CDM si ilishakufa ? au mimi naota kwenye hii post
Magu haheshimu katiba wala sheria ndio unamtegemea aheshimu ilani ?Umeisoma ilani ya CCM mwanzo hadi mwisho!
Umeisoma ilani ya CCM mwanzo hadi mwisho!