Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nilisimamishwa miezi miwili na bado division 1 ya point 5 niliipata tena ya PCM...
mimi nilisimamishwa miezi miwili na bado division 1 ya point 5 niliipata tena ya PCM...
so ndo unataka tukusifie.! Mbona me nilisimamishwa miez 3 nikapa dv1 pt 4 ya PCB
mtumishi wa wote kwanza karibu Jamiiforums. Pili ukitaka kumjibu mtu unaenda kwenye post yake na kupress 'reply', ukibonyeza reply yeyote tu unakua unajibu watu wengine (kama ulivofanya kwangu)!! Tatu kuhusu ulichosema, nakupa hongera but remember a great man called Einstein once said "Education, is what remains after you have forgotten everything you learnt in school" the issue is not weather you had the greatest points attainable, the question is are you Educated?
Mi nilipata 1 ya 3

1 ya 3 ya nini ? Ya unga ,maharage,mchele! Fafanua vizur ueleweki
mimi nilisimamishwa miezi miwili na bado division 1 ya point 5 niliipata tena ya PCM...
kuna wahaya Wengi humu
Acha wivu wewe kwani division 1 umewahi pata peke yako. Narudia tena mimi nilisoma ilboru a-level kuanzia 2006-2008 ,headmaster alikuwa Kwayu na msaidizi alikuwa Kiringo. Nilipata division 1 point 3! kwa hiyo hiyo division 1.4 yako ni cha mtoto tu na bila kusahau nimemaliza UDSM mwaka 2012 na FIRST CLASS. Sijisifii ila ndo ukweli uko hivyo
mkuu ulikuwepo ile 2008-2010...unamkumbuka chalz mburago(rais muhas)....novatus kambota(activist pale mzumbe)..paul duzu critical thinkers..hao walisumbua sana wakati ule ktk ile migomo...viva ilboru shule yangu...
Big Up Kiringo katupa mabanda ya Number Sana huyo mzee.
Hivi hii nchini inaelekea wapi???
Haipendezi kabisa.. Tena kwa shule ya vipaji maalu.. je hizo zingine zitafanyaje???
:hatari::hatari::hatari:
MAJANGA