ILBORU SEC SCHOOL chini ya jeshi la polisi kuanzia muda huu!

mimi nilisimamishwa miezi miwili na bado division 1 ya point 5 niliipata tena ya PCM...

mtumishi wa wote kwanza karibu Jamiiforums. Pili ukitaka kumjibu mtu unaenda kwenye post yake na kupress 'reply', ukibonyeza reply yeyote tu unakua unajibu watu wengine (kama ulivofanya kwangu)!! Tatu kuhusu ulichosema, nakupa hongera but remember a great man called Einstein once said "Education, is what remains after you have forgotten everything you learnt in school" the issue is not weather you had the greatest points attainable, the question is are you Educated?
 
Last edited by a moderator:
kutakua kuna tatizo zaidi ya moja sio tu hilo la kumwagwa kwa petrol kuzunguka shule ,wachache tunajua siri ya hii kitu.
 

Kijana yupo kwa mara ya pili KAPATA UBATIZO,karibu sana mtumishi wa wote,tehtehteh
 
Last edited by a moderator:

it iz what i need
 
Last edited by a moderator:
1 ya 3 ya nini ? Ya unga ,maharage,mchele! Fafanua vizur ueleweki

Acha wivu wewe kwani division 1 umewahi pata peke yako. Narudia tena mimi nilisoma ilboru a-level kuanzia 2006-2008 ,headmaster alikuwa Kwayu na msaidizi alikuwa Kiringo. Nilipata division 1 point 3! kwa hiyo hiyo division 1.4 yako ni cha mtoto tu na bila kusahau nimemaliza UDSM mwaka 2012 na FIRST CLASS. Sijisifii ila ndo ukweli uko hivyo
 
mimi nilisimamishwa miezi miwili na bado division 1 ya point 5 niliipata tena ya PCM...

Safi sana ukisoma ILBORU lazima Upate Point 3 hadi 5 kwa Form six na kwa O-Level mwisho Point 8

Wawaache Wasome jamaaaa mnaua vipaji maalumu kipekee kiakili Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:

Big Up Kiringo katupa mabanda ya Number Sana huyo mzee.
 
mkuu ulikuwepo ile 2008-2010...unamkumbuka chalz mburago(rais muhas)....novatus kambota(activist pale mzumbe)..paul duzu critical thinkers..hao walisumbua sana wakati ule ktk ile migomo...viva ilboru shule yangu...

ebwanee umenikumbusha mbali kuhusu hao washkaji.kambota vs J.matiko...ilikuwa paka na panya!!
 
Hivi hii nchini inaelekea wapi???
Haipendezi kabisa.. Tena kwa shule ya vipaji maalu.. je hizo zingine zitafanyaje???
:hatari::hatari::hatari:
MAJANGA

Tunaelekea kwenye Big Results Now! Waliambiwa wakizembea nchi haitatawalika wakafanya dhihaka. Poleni sana wazazi na wanafunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…