ILBORU SEC SCHOOL chini ya jeshi la polisi kuanzia muda huu!

mkuu ulikuwepo ile 2008-2010...unamkumbuka chalz mburago(rais muhas)....novatus kambota(activist pale mzumbe)..paul duzu critical thinkers..hao walisumbua sana wakati ule ktk ile migomo...viva ilboru shule yangu...

nawapata sana..hiyo ni class ya kina japhet,mike shaka,mtanga..hp alikuwa julius matiko jamaa hatare sana huyu..
 
hii inanikumbusha mwakaleli high school enzi zetu! Omba yasikukute
 
ebwanee umenikumbusha mbali kuhusu hao washkaji.kambota vs J.matiko...ilikuwa paka na panya!!

yahh..kambota alimkazia ticha kumchapa akamwambia hadi aje waziri wa elimu dahh ilboru ilikuwa na wabishi sana ambao najua kuanzia 2015 watasumbua sana kwenye siasa
 
vijana wanaclaim kua na points kali ila most are un educated. Kua na divI doesn't necessary mean umeelimika!

mimi nimeelimika vizuri na bado nilipata division kali hii post inawahusu sana wailboru na ndo mana hatushangaani sana na division 1 zetu ila nyinyi msiopita pale mnalalamika sana....
 
...mkuu si vyema kumtisha nape bhana...

nilitaka kueleza kuwa wanailboru wengi huwa wanafaulu hata wakiwasimamisha shule bado wakirudi wanapiga fresh....ninajamaa yangu wakati ule alikuwa PCB na yeye alisimamishwa miezi miwili kiukweli nilimwonea huruma mana mtiti wa PCB kila mtu anauelewa ila maajabu yule jamaa alisimamisha 1.4.....
 
mimi nimeelimika vizuri na bado nilipata division kali hii post inawahusu sana wailboru na ndo mana hatushangaani sana na division 1 zetu ila nyinyi msiopita pale mnalalamika sana....

I'm gonna steal a little secret for you, I've been in so called Coict-CEIT provided ulipata I naasume ulifaulu vizuri na kwenda chuo chetu so you know what I'm talking about, na miaka hiyo you weren't going in easy. Nimesoma na watu wenu ndo maana nasema unaweza kua na I ila hujaelimika. Utasemaje umeelimika presentation huwezi hata kueleza kitu kikaeleweka? Utasemaje umeelimika kama proof yako pekee ni hiyo I yako? Watu waliokuzunguka ndo watakaosema umeelimika au la kwa kuangalia michango yako kwenye jamii.
 
Big Up Kiringo katupa mabanda ya Number Sana huyo mzee.

We Mmenye wa Kiding'a...hivi unajua hadi sasa kuna nini kimetokea huko? Hapa naona raia wanajisifia misonge waliyoweka...wengine wanajisifia na makayamba yao ya kitei na sumu...
 

ah ah ah mkuu cjawahi kutoa presentation nikazingua...shule nilizosoma zilinibeba sana katika lugha labda juu juu tu nilipitaga st.mary's academy hiyo haikutosha O'level nilipita st.mary's junior seminary,visiga ambayo nayo kiingereza ilikuwa ndo language of communication na hapa nilipata malezi ya aina tatu spiritual formation,intellectual formation,discipline formation and pastoral formation...hapa nakiri wazi ilboru nilipata tu intellctual formation...cjawahi kushindwa kumuelezea mtu kwa lugha either ya kiswahili au english na asielewe...sasa nimeamini ya kuwa Real knowledge is to know the extent of one's
ignorance.
 

then good for ya, but i wasn't addressing to you straight. Hii ni kwa most of kids these days, na pia mkuu sio lazima ku mention you academic excellency mbele za watu kila Saa ili uprove kwamba una elimu. Angalia watu kama kina Nyerere, Zitto or other intellect leaders wakiongea, hawasemi kila saa 'nilikua na I, nilisoma nje' especially mbele za watu unless its needed to. Present your case acha watu waku judge wenyewe
 

nashukuru kwa ushauri na nitaufanyia kazi....ingawa mimi c mwana siasa kama zitto ila kwa mwl.nyerere naomba nikukosoe kidogo alikuwa na kawaida sana ya kujielezea na kujisifu pia....ebu jaribu kufuatilia speech zake kiongozi utaweza kulibaini hili....
 
...unajua nape alipiga ngapi, siri yako wanajamvi wasije wakoana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…