Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Mambo vipi wana JF!
Hivi ile adhabu ya Mondi kula ban imeisha maana leo naona millard ayo kapost habari kumuhusu mondi pia na mic ya clouds ilikuwepo kwa pembeni kunyonya habari....
Ndio adhabu imeisha au tayari wameshapatana?
We nae nenda youtube...Habari bila picha/videoclip ni takataka tu
Huenda nayo ikawa sababuwamegonga mwamba ... mambo yao yamefeli
Labda ila si wangemuonyesha yeye peke yake tuNandy alikuwepo!
Sijaelewa tafsiri yakoWanatakakuzia mafuriko ya Msimbazi baada ya mvua kunyesha?
Mondi ni kama maji!Labda ila si wangemuonyesha yeye peke yake tu
NdioKulikuwa na kamgomo?
ukweli ndo uo mkuuu .. if u cant beat them join themHuenda nayo ikawa sababu
So sad! Upungufu wa ubunifuUkitaka bidhaa yako ikose wateja acha kumuongelea diamond na vimbwanga vyake.
Lazima uyanywe sioMondi ni kama maji!
HaswaaLazima uyanywe sio
DefinitelySo sad! Upungufu wa ubunifu
Diamond kwa sasa - I am not a fan by the way, just simply telling the truth as I see it, I am more of a Kiba man-, kama ni mvua, ni mvua iliyokwishanyesha na kufurika Msimbazi mpaka barabara ya Morogoro haipitiki.Sijaelewa tafsiri yako
Bro usinichonganishe na serikali aise mimi sijaongelea wao... Napenda ugali wa home aise sijauchokaDiamond kwa sasa - I am not a fan by the way, just simply telling the truth as I see it, I am more of a Kiba man-, kama ni mvua, ni mvua iliyokwishanyesha na kufurika Msimbazi mpaka barabara ya Morogoro haipitiki.
Kama walitaka kumzuia walitakiwa waanze kuweka miundo mbinu ya kuzuia mafuriko haya tangu mwanzo kabisa, kutaka kumzuia sasa ni sawa sawa na kutaka kuzuia mafuriko wakati mvua tayari ishanyesha.
Kuna mambo kadhaa.
Serikali inakosea, kama unakubaliana nayo au kama hukubaliani nayo.
1. Kama unakubaliana nayo, serikali ilitakiwa kuanza mapema kutoa vitu clear kwamba picha na video gani zinaruhusiwa na zipi haziruhusiwi. Ili kusiwe na confusion mtu akipost picha tujue kuna muongozo unaoeleweka kauvunja wapi. Sasa hivi hakuna hicho kitu serikali inaenda kwa mzuka mzuka tu.
2. Kama hukubaliani nayo, utasema kwamba wananchi wanatakiwakuwa na uhuru wa kujieleza, na alichofanya Diamond wala si jambo la ajabu, serikaliinaendekeza ukandamizajiwa kishamba tu.