Ile adhabu iliyotolewa na CMG kwa Diamond Platnumz imeishia wapi!?

Ile adhabu iliyotolewa na CMG kwa Diamond Platnumz imeishia wapi!?

Bro usinichonganishe na serikali aise mimi sijaongelea wao... Napenda ugali wa home aise sijauchoka
Acha kujikuza wewe hata ukijilipua serikali haikujui, na mimi sijasema popote jambo lolote la kukuchonganisha wewe na serikali.

Wewe ndiye umenifuata kuomba tafsiri.

Au ushasahau?
 
Clouds washamba sana. Ngoja tuone watakavyopotezwa kwenye ramani na hizi media mpya
 
Diamond kwa sasa - I am not a fan by the way, just simply telling the truth as I see it, I am more of a Kiba man-, kama ni mvua, ni mvua iliyokwishanyesha na kufurika Msimbazi mpaka barabara ya Morogoro haipitiki.

Kama walitaka kumzuia walitakiwa waanze kuweka miundo mbinu ya kuzuia mafuriko haya tangu mwanzo kabisa, kutaka kumzuia sasa ni sawa sawa na kutaka kuzuia mafuriko wakati mvua tayari ishanyesha.

Kuna mambo kadhaa.

Serikali inakosea, kama unakubaliana nayo au kama hukubaliani nayo.

1. Kama unakubaliana nayo, serikali ilitakiwa kuanza mapema kutoa vitu clear kwamba picha na video gani zinaruhusiwa na zipi haziruhusiwi. Ili kusiwe na confusion mtu akipost picha tujue kuna muongozo unaoeleweka kauvunja wapi. Sasa hivi hakuna hicho kitu serikali inaenda kwa mzuka mzuka tu.

2. Kama hukubaliani nayo, utasema kwamba wananchi wanatakiwakuwa na uhuru wa kujieleza, na alichofanya Diamond wala si jambo la ajabu, serikaliinaendekeza ukandamizajiwa kishamba tu.
Duuh yani ww jamaa bana
 
Bro usinichonganishe na serikali aise mimi sijaongelea wao... Napenda ugali wa home aise sijauchoka
Umeshindwa kumuelewa tuu katumia mfano mafuriko ya msimbazi...... ambavyo hayawezi kuzuilika kwa sasa kutokana kushindwa kuweka miundo mbinu ya kuzia mafuriko toka mwanzo .
Sasa Diamond ni kama mafuriko clouds hawawezi kumzuia kabisa maana amekuwa mkubwa sana zaidi ya mafuriko hivyo kamwe hawana uwezo wa kumuangusha sasa hivi maana walishindwa kumzuia toka mwanzo......
 
Acha kujikuza wewe hata ukijilipua serikali haikujui, na mimi sijasema popote jambo lolote la kukuchonganisha wewe na serikali.

Wewe ndiye umenifuata kuomba tafsiri.

Au ushasahau?
Haya mkuu nimekuelewa kwa mfano wako
 
Umeshindwa kumuelewa tuu katumia mfano mafuriko ya msimbazi...... ambavyo hayawezi kuzuilika kwa sasa kutokana kushindwa kuweka miundo mbinu ya kuzia mafuriko toka mwanzo .
Sasa Diamond ni kama mafuriko clouds hawawezi kumzuia kabisa maana amekuwa mkubwa sana zaidi ya mafuriko hivyo kamwe hawana uwezo wa kumuangusha sasa hivi maana walishindwa kumzuia toka mwanzo......
Amani kwako mkuu kwa ufafanuzi huo
 
Millard aliona anaanza kupitwa viewers youtube na lil ommy
 
Sababu Nandy alikuwepo, niliona kwenye taarifa yao ya habari kaoneshwa Nandy tu
 
Back
Top Bottom