Acha kujikuza wewe hata ukijilipua serikali haikujui, na mimi sijasema popote jambo lolote la kukuchonganisha wewe na serikali.Bro usinichonganishe na serikali aise mimi sijaongelea wao... Napenda ugali wa home aise sijauchoka
Duuh yani ww jamaa banaDiamond kwa sasa - I am not a fan by the way, just simply telling the truth as I see it, I am more of a Kiba man-, kama ni mvua, ni mvua iliyokwishanyesha na kufurika Msimbazi mpaka barabara ya Morogoro haipitiki.
Kama walitaka kumzuia walitakiwa waanze kuweka miundo mbinu ya kuzuia mafuriko haya tangu mwanzo kabisa, kutaka kumzuia sasa ni sawa sawa na kutaka kuzuia mafuriko wakati mvua tayari ishanyesha.
Kuna mambo kadhaa.
Serikali inakosea, kama unakubaliana nayo au kama hukubaliani nayo.
1. Kama unakubaliana nayo, serikali ilitakiwa kuanza mapema kutoa vitu clear kwamba picha na video gani zinaruhusiwa na zipi haziruhusiwi. Ili kusiwe na confusion mtu akipost picha tujue kuna muongozo unaoeleweka kauvunja wapi. Sasa hivi hakuna hicho kitu serikali inaenda kwa mzuka mzuka tu.
2. Kama hukubaliani nayo, utasema kwamba wananchi wanatakiwakuwa na uhuru wa kujieleza, na alichofanya Diamond wala si jambo la ajabu, serikaliinaendekeza ukandamizajiwa kishamba tu.
Umeshindwa kumuelewa tuu katumia mfano mafuriko ya msimbazi...... ambavyo hayawezi kuzuilika kwa sasa kutokana kushindwa kuweka miundo mbinu ya kuzia mafuriko toka mwanzo .Bro usinichonganishe na serikali aise mimi sijaongelea wao... Napenda ugali wa home aise sijauchoka
Imekuwaje sasa?Duuh yani ww jamaa bana
Haya mkuu nimekuelewa kwa mfano wakoAcha kujikuza wewe hata ukijilipua serikali haikujui, na mimi sijasema popote jambo lolote la kukuchonganisha wewe na serikali.
Wewe ndiye umenifuata kuomba tafsiri.
Au ushasahau?
Clouds washamba sana. Ngoja tuone watakavyopotezwa kwenye ramani na hizi media mpya
Amani kwako mkuu kwa ufafanuzi huoUmeshindwa kumuelewa tuu katumia mfano mafuriko ya msimbazi...... ambavyo hayawezi kuzuilika kwa sasa kutokana kushindwa kuweka miundo mbinu ya kuzia mafuriko toka mwanzo .
Sasa Diamond ni kama mafuriko clouds hawawezi kumzuia kabisa maana amekuwa mkubwa sana zaidi ya mafuriko hivyo kamwe hawana uwezo wa kumuangusha sasa hivi maana walishindwa kumzuia toka mwanzo......
maji wapi mkorogo umedunda sio kwa michunusi ile khaaaaMondi ni kama maji!
Si umeonna huwezi kukosa kumjadili!maji wapi mkorogo umedunda sio kwa michunusi ile khaaaa
Respect kwako mkuuSi umeonna huwezi kukosa kumjadili!
nakama auyanywe lazma uyaoge hadi mwakyembe anatafuta kiki kwa diamondLazima uyanywe sio
hahahahaBro usinichonganishe na serikali aise mimi sijaongelea wao... Napenda ugali wa home aise sijauchoka
Millard aliona anaanza kupitwa viewers youtube na lil ommy