mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Kama mnavyojua, kamala harris aliyekuwa vice president wa U.S, aliitembelea Tanzania March 29 mwaka 2023. Aliahidi kwa niaba ya serikali ya U.S. kuipatia Tanzania U.S. Dollar milioni 500 hivi. Sasa kwa bahati mbaya kichaa Trump ndio kakabidhiwa White house.
Na unaona anavyoichangamsha dunia kwa Tarrifs kwenye bidhaa za nchi mbalimbali, huku amezuia kutoa msaada kwa WHO na bado rungu la comredi kipepe linaendelea.
Je , kwa upande wetu kama Tanzania hiyo ahadi ya dollar mil.500 itakuwaje sasa?