Sahihi. CCM wangeitumia hiyo pesa kuiba uchaguzi kwa maguvu. Mungu mkubwa Trump ameingilia kati.Nashukuru Trump kaikata juu kwa juu. Kwa maana hio pesa ingemalizikia kwa malaya wa mjini daslamu,
Kama ni njaa acha tufe wote.
VIVA TRUMP, VIVA MAGA.
Sasa huoni watachota hazina😁😁😁Sahihi. CCM wangeitumia hiyo pesa kuiba uchaguzi kwa maguvu. Mungu mkubwa Trump ameingilia kati.
Ndiyo kawaida Yao kuchota hazinaSasa huoni watachota hazina😁😁😁