Yasin21 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 667 Reaction score 402 Nov 11, 2016 #21 Mgagaa na Upwa said: Jiongeze kifikra we boya,kutoka utofauti wa pointi 8 hadi 2 hlf bado unaleta ubishi tu! Click to expand... Wewe kweli koro na ni 1/4,kwani hilo gape la point 8 lilitokea wapi?? Narudia tena endeleeni kuuota ila pale huu matafika kwa macho.
Mgagaa na Upwa said: Jiongeze kifikra we boya,kutoka utofauti wa pointi 8 hadi 2 hlf bado unaleta ubishi tu! Click to expand... Wewe kweli koro na ni 1/4,kwani hilo gape la point 8 lilitokea wapi?? Narudia tena endeleeni kuuota ila pale huu matafika kwa macho.
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 13,481 Reaction score 28,116 Nov 11, 2016 Thread starter #22 Yasin21 said: Wewe kweli koro na ni 1/4,kwani hilo gape la point 8 lilitokea wapi?? Narudia tena endeleeni kuuota ila pale huu matafika kwa macho. Click to expand...
Yasin21 said: Wewe kweli koro na ni 1/4,kwani hilo gape la point 8 lilitokea wapi?? Narudia tena endeleeni kuuota ila pale huu matafika kwa macho. Click to expand...
I ichuka Member Joined Nov 9, 2016 Posts 24 Reaction score 8 Nov 11, 2016 #23 watu wanachonga sana humu wakati ligi inaanza wote walikuwa na point 0 sasa hiv mechi 15 simba pnt 35 yeboyebo 33 sijui zingine wamepeleka wapi alafu et ooh baiskel ya mbao shaur yenu mtakuwa mnaziona hivyo tu
watu wanachonga sana humu wakati ligi inaanza wote walikuwa na point 0 sasa hiv mechi 15 simba pnt 35 yeboyebo 33 sijui zingine wamepeleka wapi alafu et ooh baiskel ya mbao shaur yenu mtakuwa mnaziona hivyo tu
Yasin21 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 667 Reaction score 402 Nov 11, 2016 #24 Narudia tena ww ni 1/4 hivi wakati ligi inaanza si tulikuwa 0 kwa 0 now ni 35 kwa 33 Alafu mnasema eti simba wanajifariji,kwann tusijifariji wakati nyinyi mliokuwa nyuma yetu mnajifariji?
Narudia tena ww ni 1/4 hivi wakati ligi inaanza si tulikuwa 0 kwa 0 now ni 35 kwa 33 Alafu mnasema eti simba wanajifariji,kwann tusijifariji wakati nyinyi mliokuwa nyuma yetu mnajifariji?