Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Mkuu sina ushabiki wa kihivyo yaan niumie kisa staa kaumizwa. Kwanza ndio nafurahia zari awe huru maana ts too much. Ukienda mtandaoni utakuta team zari wamefurahia.
Kiki tu hizo mnachezewa picha halafu utatoka single,ndani ya nusu saa viewers milioni mbili!wote ni wajasiriamali wale.
Kuondoa jina hakufuti ukweli kwamba watoto ni wa Nassibu
Watu wanashindwa kabisa kuwaelewa hawa wajasiriamali wameshaombana radhi kilichobaki wapige pesa wagawane pasu pasuBora wewe unakubali watoto ni wa nasibu,wengine hawakubali hilo yaan wanataman sana wale watoto wasiwe wa dai wanaona kama zari atapata mali nyingi za dai
Nahisi kuna ule wimbo waliovaa kihindi ndio utatolewa kipindi hiki
Watu wanashindwa kabisa kuwaelewa hawa wajasiriamali wameshaombana radhi kilichobaki wapige pesa wagawane pasu pasu
Diamond hawezi kukubali kumuachia kirahisi,Zari nae ana watoto wadogo watamsumbua tu mama yao,isitoshe watoto wa Ivan kwa sasa wanaangaliwa kila kitu na Diamond
Ila nyie mnaomjua hata kidogo huyu mama ebu nisaidieni hili swala m cjawahi kumwona aki smile yani meno yake kuyaona ni vigumu kwnza mdomo hata apige picha gani lazma afumbe mdomo naombeni msaada kwa hili
Afu ukishaupata uyo msadaa utawin bilion ngapi?
Daah jamaa ww mbavu zangu ukuni hauna mwenyeweHuu ukuni hauna shukrani huu, sasa we fikiria unaanzaje kumuacha mtoto kama Beyonce kauanika tu nyumbani we ukasake machangudoa? Sasa hayo ndio yaliyomkuta mwanaume mwenzetu Jay Z. Yaani hili rungu ni mtihani mkubwa huu. Tusamehewe tu.
Mtafute lemutuz anamajibu ya mshahara wako