Ile couple matata kabisa ya Diamond Platnumz na Zarithebosslady imevunjika rasmi

Ile couple matata kabisa ya Diamond Platnumz na Zarithebosslady imevunjika rasmi

Wanaume hatujaribiwi!!! Hapo couple mpya itangazwe rasmi na hadi kufikia December, inakuwa na Followers 2M Instagram!
 
sikuwahi ona kama wanaendana.

huyu ndugu yetu bado ni mswahili sana,mbali na kuwa kakulia uswazi,lakini pia malezi ya mzazi mmoja yamemuathiri.

mwenye no ya zali ya tigo,aiweke hapa nimshauri kitu.
 
Jina lake ni kubwa lazma apate mwanamke mwenye elimu siyo hao wauzaji wenye njaa kali,mtu yuko busy kupiga picha getto ili awaonyeshe wenzie.....kweli chibu anachukua vibudu kabisa yani vimetumika haswa vingine marinda yameisha kitambo

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Yote haya unayakua wewe mkuu
 
Watz tufanye kazi tuache kupoteza muda kuaghulika na mambo ya watu wengine kwani kuachana nako pia ni kitu cha ajabu maana ss watanzania wote tumekuwa shilawadu tunaacha kutazama maisha yetu tunaangalia maisha ya wengine tubadilike

Mkuu uko sahihi sana, Watz tunahangaika sana na mambo ambayo sio muhimu kwetu na yasiyo na tija.

Tubadili mitazamo ili tushughulikie mambo yaliyo mujimu kwa ustawi wa jamii yetu.
 
Hizi ndo habari za kudeal nazo JF sio zile zitskazosababisha tutufutwe na wasiojulikana
 
Usicheze na Mwanaume... Ukimwaga ugali anamwaga mboga,uyu Zari kuna kitu alichomfanya diamond,aya ni malipizi, japo Diamond anakosea sana,
 
Usicheze na Mwanaume... Ukimwaga ugali anamwaga mboga,uyu Zari kuna kitu alichomfanya diamond,aya ni malipizi, japo Diamond anakosea sana,

Usiniambie kuwa mtoto Nillan sio wa Diamond
 
Hawa mademu yaani anasubili mpaka unamzalisha baadae ndo anaachika ...kwa nini asiachike kabla hajazaa hii ni kuwatesa watoto wapate upendo wa upande mmoja wa mama...that is a problem
 
Mimi binafsi nikupe pole dada Numbisa, I know how much you are into Zari, and you wouldn't like anything bad to happen to her, especially at this time where she has lost her two dears.

Wishing her the best. And sorry to you too.
 
Mkuu sina ushabiki wa kihivyo yaan niumie kisa staa kaumizwa. Kwanza ndio nafurahia zari awe huru maana ts too much. Ukienda mtandaoni utakuta team zari wamefurahia.

Back
Top Bottom