Ile couple matata kabisa ya Diamond Platnumz na Zarithebosslady imevunjika rasmi

Ile couple matata kabisa ya Diamond Platnumz na Zarithebosslady imevunjika rasmi

Hata hivyo has nothing to loose kama kutemana na wanaume hajaanza leo.
Pesa ipo na watoto atabakinao yeye.

Ni muda muafaka kwa dogo kujitaftia demu mkali amweke ndani.
 
Usipende vya bure kakangu,kuhudumia mwanamke kuna raha yake waulize wakubwa zako
haaaaa haaaaa haaaaa dada angu kumbe umeniona. nilikuwa nachangamsha tu uzi wa mwana LIKE mwenzangu Numbisa. wala hakuna uhalisia maana hata hao watu siwafuatiliagi,so enjoy my comments
 
Kama ndivyo namchukua Zari sasa na mm anizalie ili semeee
 
Aisee tutaona mengi...Kama ni kweli naanza kuiamini ile kauli ya NDOA/MAHUSIANO ya masupastaa HAYADUMU
Hao ambao hawadumu sio sababu ya ustaa nadhani ni akili yao tu huwa inakuwa mbaya.... Kuna couples zimetulia mpaka unashanga mcheki Will Smith na Jada Pincket au David Beckham na Victoria. Wanao sambaratika ni wale wanaoshindwa kujua kuwa ndoa ni taasisi ya kidemokrasia ambayo inawataka waache waliyokuwa wanayafanya huko pembeni kabla, na waanzishe ya pamoja kama couples. Vinginevyo inakuwa "if you do me, I do you".... Kinachofuata ni kugawana njia, wewe kushoto mimi kulia inabaki historia kwamba " walikuwaga"
 
Sasa nyie msopendezwa na udaku si muache kusoma na kukoment? Serikali.yenyewe inatutia kiwewe si bora tujilie ubuyu huku
 
Hao ambao hawadumu sio sababu ya ustaa nadhani ni akili yao tu huwa inakuwa mbaya.... Kuna couples zimetulia mpaka unashanga mcheki Will Smith na Jada Pincket au David Beckham na Victoria. Wanao sambaratika ni wale wanaoshindwa kujua kuwa ndoa ni taasisi ya kidemokrasia ambayo inawataka waache waliyokuwa wanayafanya huko pembeni kabla, na waanzishe ya pamoja kama couples. Vinginevyo inakuwa "if you do me, I do you".... Kinachofuata ni kugawana njia, wewe kushoto mimi kulia inabaki historia kwamba " walikuwaga"
Kumbe ndio maana
 
Inasemekana ule msemo wa chenye mwanzo kina mwisho umetimia kwa hii couple ya diamondplatnumz na zarithebosslady imevunjika rasmi,chanzo cha mvurugiko huo ni usaliti wa diamondplatnmz

Inasemekana Diamondplatnumz kwa sasa anatoka na queen video wake wa kwenye wimbo wa sheriView attachment 602021
View attachment 602027
kama ilivyotokea kwa hamisa kupost picha akiwa kitandani na dai pale madale,huyu queen video pia kaposti picha zake akiwa na dai kitandani madale,View attachment 602022 zari kuona hivyo akaamua kujiweka kando.

Ili kuonyesha hasira zake si ndogo zari kaedit accounts za wanae aliozaa na diamond. Kafuta majina yanayomhusisha diamond
View attachment 602023
View attachment 602024
Numbisa lakini mbona nilisikia huyu Tahiya ana undugu na Diamond?
 
Wadada wanamfuata wenyewe,hela zake katafuta mwenyewe,kwanini asiwatafune tu hakuna namna lazma awatafune ....shida iliyopo anadate na wauza mpapa hawana mbele wala nyuma....atulie atafute mdada mwenye shule afunge nae ndoa
 
Back
Top Bottom