Car4Sale Ile Crown Athlete toleo jipya yenye sunroof hatimaye imewasili

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
685
Reaction score
600
Bei/Price TSH 27.5M
Call +255 747 999 927

CROWN ATHLETE

Year: 2009
Engine: 2490Cc
Mileage: 55,000+

Transmission: AUTO

Sunroof
Fog Lights
Push To Start

100% Duty Paid
Free Registration
Exchange Possible

IMG-20250827-WA0064.jpg
IMG-20250827-WA0072.jpg
IMG-20250827-WA0071.jpg
IMG-20250827-WA0048.jpg
IMG-20250827-WA0062.jpg
 
Maisha haya, hivi kweli mwaka2025, tunatumia gari ya 2009.
Serikali tumewakosea nini sisi?
Hongera kwake, wacha nipande baiskeli yamgu nikauze madafu.
Cha kushangaza sasa wao wenyewe wanatumia brand new luxury cars, with zero kilometer!! Halafu sisi kajamba nani tunauziwa magari used from Japan, Tanzania, South Sudan, Burundi, Somalia, Afghanstan, and so on! With high tarrifs

This is totally unfair.
 
Ndio Maana Hata Vidole Havilingani, Hongera Kwako Unayetumia Magari Latest
 
Cha kushangaza sasa wao wenyewe wanatumia brand new luxury cars, with zero kilometer!! Halafu sisi kajamba nani tunauziwa magari used from Japan, Tanzania, South Sudan, Burundi, Somalia, Afghanstan, and so on! With high tarrifs

This is totally unfair.
Hawataki kupunguza kodi nasi tuendeshe vyuma vya maana.

Hii serikali haipo kwa ajili ya mtanzania
 
Maisha haya, hivi kweli mwaka2025, tunatumia gari ya 2009.
Serikali tumewakosea nini sisi?
Hongera kwake, wacha nipande baiskeli yamgu nikauze madafu.
Naomba kuuliza hizi gari zinazotoka nje mbona huwa zinakua na hali nzuri yaan kama mpya.
Maana 2009 hadi leo ni muda sana ni miaka 16 Hawa wenzetu huwa wanatunza vipi magari yao ?
 
Wenzetu Wana Mifumo Mingi Ya Usafiri Ivyo Unakuta Mtu Gari Yake Anaitumia Mara Chache Sana
 
Back
Top Bottom