darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Tuko nyuma ya mda sana, serikali ingekuwa na nia njema kwa watu wake hizi kodi kubwa zingekuwa si kipaumbele chao.Maisha haya, hivi kweli mwaka2025, tunatumia gari ya 2009.
Serikali tumewakosea nini sisi?
Hongera kwake, wacha nipande baiskeli yamgu nikauze madafu.
Hawawezi kutoa kodi, sababu nchi wameigeuza KIKOBA, kodi zetu ndio maisha yao mazuriTuko nyuma ya mda sana, serikali ingekuwa na nia njema kwa watu wake hizi kodi kubwa zingekuwa si kipaumbele chao.
Cha kushangaza sasa wao wenyewe wanatumia brand new luxury cars, with zero kilometer!! Halafu sisi kajamba nani tunauziwa magari used from Japan, Tanzania, South Sudan, Burundi, Somalia, Afghanstan, and so on! With high tarrifsMaisha haya, hivi kweli mwaka2025, tunatumia gari ya 2009.
Serikali tumewakosea nini sisi?
Hongera kwake, wacha nipande baiskeli yamgu nikauze madafu.
Ndio Maana Hata Vidole Havilingani, Hongera Kwako Unayetumia Magari LatestMaisha haya, hivi kweli mwaka2025, tunatumia gari ya 2009.
Serikali tumewakosea nini sisi?
Hongera kwake, wacha nipande baiskeli yamgu nikauze madafu.
Hawataki kupunguza kodi nasi tuendeshe vyuma vya maana.Cha kushangaza sasa wao wenyewe wanatumia brand new luxury cars, with zero kilometer!! Halafu sisi kajamba nani tunauziwa magari used from Japan, Tanzania, South Sudan, Burundi, Somalia, Afghanstan, and so on! With high tarrifs
This is totally unfair.
Naomba kuuliza hizi gari zinazotoka nje mbona huwa zinakua na hali nzuri yaan kama mpya.Maisha haya, hivi kweli mwaka2025, tunatumia gari ya 2009.
Serikali tumewakosea nini sisi?
Hongera kwake, wacha nipande baiskeli yamgu nikauze madafu.
Hata kama kibongo unavimba nalo na totoz kadhaa lazima utakulaMaisha haya, hivi kweli mwaka2025, tunatumia gari ya 2009.
Serikali tumewakosea nini sisi?
Hongera kwake, wacha nipande baiskeli yamgu nikauze madafu.
Halafu muuzaji anasema toleo jipya !!!Maisha haya, hivi kweli mwaka2025, tunatumia gari ya 2009.
Serikali tumewakosea nini sisi?
Hongera kwake, wacha nipande baiskeli yamgu nikauze madafu.
Wenzetu Wana Mifumo Mingi Ya Usafiri Ivyo Unakuta Mtu Gari Yake Anaitumia Mara Chache SanaNaomba kuuliza hizi gari zinazotoka nje mbona huwa zinakua na hali nzuri yaan kama mpya.
Maana 2009 hadi leo ni muda sana ni miaka 16 Hawa wenzetu huwa wanatunza vipi magari yao ?
Kwa Upande Wa Crown Boss Huwa Kibongobongo Tumezoea Kusema IvyoHalafu muuzaji anasema toleo jipya !!!
Kiulaini KabisaHata kama kibongo unavimba nalo na totoz kadhaa lazima utakula