Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Uvumbuzi siku hizi duniani umekwisha ? Au watu wenye akili nyingi wamepungua ?
Ile dunia wakati huo wanasayansi mbalimbali wakipigana vikumbo na mchaka mchaka wa kushindana kubuni formula, vitu na mambo mbalimbali ya kisayansi sasa kimya.
Ukisoma historia mchaka mchaka duniani enzi hizo wakina Isaac Newton, Albert Einstein, Nikola, Thomas Edison, Marie curie na wengine wengi
Dunia ilikuwa imejaa battle za wanasayansi wakipambana ile mbaya kugombea Nobel full fujo wengine mpaka fitina walikuwa wanafanyiana.
Dunia ya sasa hizo battle hazipo kimya, ni kwamba sisi sasa hatuna akili nyingi kama hao watu wa nyuma ?
Kuna Great minds kama za wakati ule kama wakina Albert, Isaac, Nikola ?Fika Silicon Valley hapo California ukajionee watu wanavyopambana na vumbuzi mbali mbali za ki teknolojia
Mimi sio mwanasayansi sijabobea katika taaluma hiyoMkuu wewe umegundua nini mwenzetu, kama hujagundua kitu hebu tupe jibu, kwanini hugundui vitu kama wale wa mwanzoni
Mimi sio mwanasayansiTunakusubiri wewe uje na jipya.
Kweli mambo mengi huko nyuma wameisha fanywa na watabe wa sayansi sisi tunafanya modification tuAsaivi tuna historia ya sayansi..
Lakini pia uvumbuzi wa zamani ulikua unadili na Matatizo makubwa yaliyokua yakiisumbua dunia mfano,
Afya, Usafiri, Energy, mawasiliano..
Sasahivi ni modifications tuu ndani ya nyaja hizo.
Anzisha hata uongo mpya hadi tushangae dunia nzima.Hilo nalo hauwezi?Mimi sio mwanasayansi
Wale Great minds kama kipindi cha nyuma ?Wanasayansi wapo...
Nazungumzia wanasayansiAnzisha hata uongo mpya hadi tushangae dunia nzima.Hilo nalo hauwezi?
Anayoyafanya Elon Musk hayakupi furaha?Nazungumzia wanasayansi
google ujionee mambo yafanyikayo huko kisha utalinganisha kwa mizania yako mkuuKuna Great minds kama za wakati ule kama wakina Albert, Isaac, Nikola ?
Wale Great minds kama kipindi cha nyuma ?