Emmanuel kant
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 333
- 857
Kipindi Cha kampeni tuliahidiwa to Tanzia itaunda FBI, sasa sijui imeishia wapi
kwa faida ya wadau wa JF,Kipindi Cha kampeni tuliahidiwa to Tanzia itaunda FBI, sasa sijui imeishia wapi
Hebu weka maelezo ya kutosha ndugu Senior Member. Tuanze kwanza "nani aliahidi? Na hiyo FBI itaundwa kwa malengo yepi?"Kipindi Cha kampeni tuliahidiwa to Tanzia itaunda FBI, sasa sijui imeishia wapi
Kama sijaelewa hivi. Hebu elezea kidogo.Kipindi Cha kampeni tuliahidiwa to Tanzia itaunda FBI, sasa sijui imeishia wapi
Umechanginyikiwa si FBI naona ni The NBI (National Bureau Of Investigation) au NIS (National Investigation Service) kila kitu kimekamilika soon sheria inaenda Bungeni.Kipindi Cha kampeni tuliahidiwa to Tanzia itaunda FBI, sasa sijui imeishia wapi
Ww ahadi za kampeni unazichukulia serious? Pendekezo hili aliweza kulisema simbachawene tu baada ya hapo tunajua kilichomkutaKipindi Cha kampeni tuliahidiwa to Tanzia itaunda FBI, sasa sijui imeishia wapi
HahahaWw ahadi za kampeni unazichukulia serious? Pendekezo hili aliweza kulisema simbachawene tu baada ya hapo tunajua kilichomkuta
Yeye ndio alisemaUmechanginyikiwa si FBI naona ni The NBI (National Bureau Of Investigation) au NIS (National Investigation Service) kila kitu kimekamilika soon sheria inaenda Bungeni.
Kipindi Cha kampeni tuliahidiwa to Tanzia itaunda FBI, sasa sijui imeishia wapi
Mgombea uraisi aliahidi kuanzisha chombo kinachofanya majukumu ya FBI hapa TanzaniaKama sijaelewa hivi. Hebu elezea kidogo.
Mgombea uraisi aliyeshinda kwa 98% aliahidi kuunda FBI hapa Tanzania akishinda uraisiHebu weka maelezo ya kutosha ndugu Senior Member. Tuanze kwanza "nani aliahidi? Na hiyo FBI itaundwa kwa malengo yepi?"
Jazia nyama mkuu, inahusiana na nini hiyo NBI?Umechanginyikiwa si FBI naona ni The NBI (National Bureau Of Investigation) au NIS (National Investigation Service) kila kitu kimekamilika soon sheria inaenda Bungeni.