Ile FBI tulio ahidiwa kwenye kampeni itaundwa imeishia wapi!?

Kipindi Cha kampeni tuliahidiwa to Tanzia itaunda FBI, sasa sijui imeishia wapi
Umechanginyikiwa si FBI naona ni The NBI (National Bureau Of Investigation) au NIS (National Investigation Service) kila kitu kimekamilika soon sheria inaenda Bungeni.
 
Ww ahadi za kampeni unazichukulia serious? Pendekezo hili aliweza kulisema simbachawene tu baada ya hapo tunajua kilichomkuta
 
Umechanginyikiwa si FBI naona ni The NBI (National Bureau Of Investigation) au NIS (National Investigation Service) kila kitu kimekamilika soon sheria inaenda Bungeni.
Yeye ndio alisema
 
Umechanginyikiwa si FBI naona ni The NBI (National Bureau Of Investigation) au NIS (National Investigation Service) kila kitu kimekamilika soon sheria inaenda Bungeni.
Jazia nyama mkuu, inahusiana na nini hiyo NBI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…