Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Weka ya ukweliMmh hii fake sasa
Ukiambiwa ueke ushaid utasema unaonewa..jitahid kuwa na akiba ya manenoKupita skendo hii nimejua mengi
Ana file Mwananyamala anachukua dozi
Mabwana zake watatu washakufa kwa ngoma
mchezo WA kupakuliwa Ndio kawaida yake .
Soma tena uelewe.Ukiambiwa ueke ushaid utasema unaonewa..jitahid kuwa na akiba ya maneno
hata wewe nahisi ujanielewa..soma tenaSoma tena uelewe.
Hahahaha wapi mukongo. Ila bora tumeyafahamu madanga ya uwoya na kishimo
Nimekuelewa vizur Ndio maana nikamwambia Soma uwelewe . Umenishutumu wakati Mimi nimesema kwakupitia skendo hii nimejua yote hayo kutokana na michango iliyotolewa Kwenye post zilizopita tumejua hata tusivovijua.hata wewe nahisi ujanielewa..soma tena
Hahahaha naisubiria
sawa na ulivobahatika kujua hivo vitu ulijaribu kuthibitisha kama vina ukweli?Nimekuelewa vizur Ndio maana nikamwambia Soma uwelewe . Umenishutumu wakati Mimi nimesema kwakupitia skendo hii nimejua yote hayo kutokana na michango iliyotolewa Kwenye post zilizopita tumejua hata tusivovijua.
[emoji1][emoji23]mkuu nenda kapime tu presha ya ninii [emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji12]sawa na ulivobahatika kujua hivo vitu ulijaribu kuthibitisha kama vina ukweli?
Sina muda wa kuvithibitisha.sawa na ulivobahatika kujua hivo vitu ulijaribu kuthibitisha kama vina ukweli?
Huwez jua labda mie ndio ndikumana mwenyewe...[emoji1][emoji23]mkuu nenda kapime tu presha ya ninii [emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji12]
Wanasema never celebrate or giveup too early,,,hahaha amekua na hraka ya kureactNdiku imemchoma mpaka nae akapost,kwa hakika hapa utamjua mwanaume mkurupukaji na ni dhahiri kua Ndiku bado anampenda uwoya ila ndio vile tena ma Dada wa kibongo ni kama ungo na kibeku
Aisee siyo siri utapata.
Kuna dada wako ofisini wakawa wanaongea Irene Uwoya kaolewa na dogo janja, mi nikakaa zangu kimya, baadae ndo nikawaambia hakuna kitu kama hicho, nikashusha nondo zako zile, nikaonekana nina taarifa exclusive kabisa.
Mapovu ya ndiku mume wa uwoyaView attachment 621196 View attachment 621197